Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa

Poll

kwa upande wako ungependa nani atwae tuzo?

Total Votes: x

Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa Empty Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa

Post by Mkweli daima on Sun Apr 15, 2018 4:38 pm

Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa Whatsapp-image-2018-04-14-at-15-16-16-jpeg ​

Kevin De Bruyne(Manchester City) na Mohamed Salah(Liverpool) wanatarajiwa kuchuana vikali kuwania tuzo ya mchezaji bora katika ligi ya mpira wa soka baada ya kutajwa katika orodha ya wachezaji 6 wanaowania tuzo hiyo

Wachezaji wengine waliotajwa katika orodha hiyo ni Harry Kane(Tottenham), Leroy Sane(Manchester City), David De Gea(Manchester United) na David De Gea(Manchester City)

Eden Hazard(Chelsea), Roberto Firmino(Liverpool) na Raheem Sterling(Manchester City) ni miongoni mwa majina makubwa katika ligi hiyo ambayo hayajatajwa kuwania tuzo hiyo

De Bruyne mpaka sasa amefunga magoli 7 na kutoa pasi zilizozaa magoli 15 katika michezo 32 ya ligi hiyo. Salah mpaka sasa ni kinara wa magoli katika ligi hiyo akiwa na magoli 29

PIGA KURA YAKO HAPO JUU WEWE KAMA MDAU WA SOKASPORTS
depay
depay
New Member
New Member

Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa Empty Re: Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa

Post by depay on Sun Apr 15, 2018 4:53 pm

bila shaka yoyote MO SALAH ni mtu anayestahili tuzo
Zombie
Zombie
Junior Member

Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa Empty Re: Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa

Post by Zombie on Sun Apr 15, 2018 5:21 pm

Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa Manchester-united-goalkeeper-david-de-gea-makes-a-save-against-city-picture-id819931246?s=612x612
Zombie
Zombie
Junior Member

Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa Empty Re: Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa

Post by Zombie on Sun Apr 15, 2018 5:24 pm

DEgea the best ameibeba sana timu ya Man Utd
Rashford
Rashford
Junior Member

Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa Empty Re: Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa

Post by Rashford on Sun Apr 15, 2018 5:37 pm

de gea
CR7
CR7
Junior Member

Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa Empty Re: Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa

Post by CR7 on Sun Apr 15, 2018 5:48 pm

de gea

Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa Empty Re: Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa

Post by Roy on Sun Apr 15, 2018 5:53 pm

De gea the best

Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa Empty Re: Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa

Post by celine dion on Sun Apr 15, 2018 5:59 pm

nampenda de gea anastahili

Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa Empty Re: Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa

Post by kichuya kona on Sun Apr 15, 2018 6:07 pm

SALAH anastahili

Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa Empty Re: Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa

Post by kiboko yao on Sun Apr 15, 2018 6:20 pm

Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa 9k=

Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa Empty Re: Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa

Post by MO SALAH on Sun Apr 15, 2018 6:26 pm

Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa Images?q=tbn:ANd9GcQ_1k7QY7aH083SL24Dy-DKMrAUMIZFatO9jkcEjvLgpubcSPAb
human
human
New Member
New Member

Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa Empty Re: Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa

Post by human on Sun Apr 15, 2018 11:32 pm

ustadh salah
Deo
Deo
New Member
New Member

Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa Empty Re: Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa

Post by Deo on Mon Apr 16, 2018 8:39 am

Anaechukua Ni Salah waliobak wanasindikiza tu
ramsey
ramsey
Junior Member

Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa Empty Re: Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa

Post by ramsey on Mon Apr 16, 2018 11:40 am

De bruyne anastahili
Payet
Payet
Junior Member

Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa Empty Re: Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa

Post by Payet on Mon Apr 16, 2018 12:22 pm

salah

Leo

Post by Leo on Tue Apr 17, 2018 12:11 pm

Salah anastahili tuzo na sina shaka ndiye atatwaa
lallana
lallana
New Member
New Member

Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa Empty Re: Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa

Post by lallana on Tue Apr 17, 2018 1:47 pm

Tuache siasa Salah hana mpinzani hapo
King
King
Junior Member

Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa Empty Re: Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa

Post by King on Tue Apr 17, 2018 8:43 pm

Liverpool wambakize Mo Salah EPL.
Jamaa ana ladha  tamu balaa
Zombie
Zombie
Junior Member

Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa Empty Re: Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa

Post by Zombie on Tue Apr 17, 2018 8:54 pm

Salah anatisha ila waingereza ni wabaguzi tena hawafai kuwaamini hata kidogo

Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa Empty Re: Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa

Post by bakayoko chelsea on Wed Apr 18, 2018 10:42 am

@Zombie wrote:Salah anatisha ila waingereza ni wabaguzi tena hawafai kuwaamini hata kidogo
kwaiyo watampa kane?
babu
babu
New Member
New Member

Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa Empty Re: Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa

Post by babu on Wed Apr 18, 2018 11:16 am

@Zombie wrote:DEgea the best ameibeba sana timu ya Man Utd
ameibeba kuchukua nini?
Zombie
Zombie
Junior Member

Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa Empty Re: Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa

Post by Zombie on Thu Apr 19, 2018 11:49 am

@babu wrote:
@Zombie wrote:DEgea the best ameibeba sana timu ya Man Utd
ameibeba kuchukua nini?
Very Happy Very Happy Very Happy Very Happy

Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa Empty Re: Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa

Post by P. Dybala on Thu Apr 19, 2018 12:32 pm

@King wrote:Liverpool wambakize Mo Salah EPL.
Jamaa ana ladha  tamu balaa
Salah akitaka kupata mafanikio zaidi aondoke pale liva maana najua msimu ujao liva ni chepechepe
Kun
Kun"
Junior Member

Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa Empty Re: Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa

Post by Kun" on Thu Apr 19, 2018 12:44 pm

SALAH anatisha
Wire
Wire
New Member
New Member

Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa Empty Re: Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa

Post by Wire on Thu Apr 19, 2018 4:05 pm

DE BRUYNE aliharibiwa na majeruhi
Edga
Edga
New Member
New Member

Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa Empty Re: Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa

Post by Edga on Thu Apr 19, 2018 4:26 pm

Salah the GREAT

Sponsored content

Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa Empty Re: Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18? Piga kura yako hapa

Post by Sponsored content

    Current date/time is Mon Jul 22, 2019 7:41 pm