Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

  • Post new topic
  • Reply to topic

Wahindi wameua Mpira wetu Tanzania

Wahindi wameua Mpira wetu Tanzania Empty Wahindi wameua Mpira wetu Tanzania

Post by Mkweli daima on Sun Apr 15, 2018 4:48 pm

Klabu kubwa za Simba na Yanga ndizo ambazo zingekuwa chemchem ya soka letu Tanzania, bahati mbaya wanachama na wapenzi wa timu hizi waliwaachia wafanyabiashara wa kihindi kufanya biashara na kufaidika na timu hizi kwa mgongo wa ufadhili.

Wafanyabiashara hawa walijali faida badala ya maendeleo ya soka. Walicheza kamali na matokeo ya mechi za Simba na Yanga hivyo walifanya kila kitu na kila mbinu ili kulazimisha matokeo uwanjani kitu kilichodumu hata leo.

Wanachama na mashabiki hawalipi hata michango yao wakitegemea mhindi kuendesha club yao. Akina mzee Akilimali na wenzake hadi leo huwaambii kitu kuhusu timu kujitegemea, wanatafuta mfadhiri wa kihindi aje awape furaha ya uwanjani hata ikibidi kwa kununua mechi.

Hivyo Mpira wetu ulibaki chini kwa tabia hii mbovu ya kupenda matokeo ya leoleo ya uwanjani kutoka kwa wahindi.
Zombie
Zombie
Junior Member

Wahindi wameua Mpira wetu Tanzania Empty Re: Wahindi wameua Mpira wetu Tanzania

Post by Zombie on Sun Apr 15, 2018 5:22 pm

wahiteni na wabongo waje wawekeze basi

Wahindi wameua Mpira wetu Tanzania Empty Re: Wahindi wameua Mpira wetu Tanzania

Post by kichuya kona on Sun Apr 15, 2018 6:08 pm

kipindi wahindi hawajaja mpira ulikua juu au chini?
human
human
New Member
New Member

Wahindi wameua Mpira wetu Tanzania Empty Re: Wahindi wameua Mpira wetu Tanzania

Post by human on Sun Apr 15, 2018 8:16 pm

wapeni umiliki wa 100%

Wahindi wameua Mpira wetu Tanzania Empty Re: Wahindi wameua Mpira wetu Tanzania

Post by Roy on Mon Apr 16, 2018 12:13 pm

si kweli
King
King
Junior Member

Wahindi wameua Mpira wetu Tanzania Empty Re: Wahindi wameua Mpira wetu Tanzania

Post by King on Tue Apr 17, 2018 12:19 pm

@Zombie wrote:wahiteni na wabongo waje wawekeze basi
Smile Smile Smile Smile Smile Smile
Payet
Payet
Junior Member

Wahindi wameua Mpira wetu Tanzania Empty Re: Wahindi wameua Mpira wetu Tanzania

Post by Payet on Thu Apr 19, 2018 1:54 pm

mbona klabu zisizomilikiwa na wahindi ndio zinashika mikia kwenye ligi? Hoja yako haina uhalisia kaka

Wahindi wameua Mpira wetu Tanzania Empty Re: Wahindi wameua Mpira wetu Tanzania

Post by keyboard on Thu Apr 19, 2018 5:09 pm

@kichuya kona wrote:kipindi wahindi hawajaja mpira ulikua juu au chini?

hapo sasa

Sponsored content

Wahindi wameua Mpira wetu Tanzania Empty Re: Wahindi wameua Mpira wetu Tanzania

Post by Sponsored content

  • Post new topic
  • Reply to topic

Current date/time is Fri May 24, 2019 10:29 pm