Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

Hivi TFF hawajui kama magari ni silaha kwenye viwanja vya mpira

Share
avatar
Zombie
Junior Member

Hivi TFF hawajui kama magari ni silaha kwenye viwanja vya mpira

Post by Zombie on Sun Apr 15, 2018 5:27 pm

Haya magari yanayopaki ndani ya viwanja vya mpira vp kama siku yakatumiwa na wahalifu kushambulia wachezaji??
Maana yanakua mita chache toka kwenye kiwanja..pia haipendezi kabisa hata kwenye urushaji wa matangazo ya mpira 

TFF ipige marufuku magari kuingia ndani ya viwanja wakati wa mechi za mpira.
avatar
Rashford
Junior Member

Re: Hivi TFF hawajui kama magari ni silaha kwenye viwanja vya mpira

Post by Rashford on Sun Apr 15, 2018 5:35 pm

Kwa sababu viwanja vingi vinavyotumika kwa soka Tanzania uwa ni vya zaidi ya mchezo wa soka. Haswa kwa sababu vinakuwa na sehemu ya michezo ya riadha. Hata kwa wenzetu kwenye viwanja vinavyotumika kwa michezo mingi, uweza kuona gari za wagonjwa ndani ya uwanja. Kwa viwanja vinavyotumika kwa soka tu huwezi kukuta gari ndani ya uwanja kwa sababu hakuna nafasi ya kupaki gari ndani.
avatar
CR7
Junior Member

Re: Hivi TFF hawajui kama magari ni silaha kwenye viwanja vya mpira

Post by CR7 on Sun Apr 15, 2018 5:49 pm

Very Happy Very Happy Very Happy Very Happy Very Happy

Sponsored content

Re: Hivi TFF hawajui kama magari ni silaha kwenye viwanja vya mpira

Post by Sponsored content


    Current date/time is Wed Dec 19, 2018 4:43 am