Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

Wadau Wa Wrestling (WWE)

Share
avatar
ramsey
Junior Member

Wadau Wa Wrestling (WWE)

Post by ramsey on Mon Apr 16, 2018 11:20 am

Nimekuwa nikifwatilia kwa karibu sana hii michezo ya mielekea kupitia vituo vyetu vya kizawa na vile vya nje kama DSTV kuona hii mieleka.Nachotaka kujua kwenye Wrestring either iwe Smackdown,raw au ECW..je kuna ukweli wowote katika kule kupigana au kuna exaggeration inafanyika,ile damu mtu anayotoka ni kweli kwa kichapo au wanawekewa damu kama za kwenye movies??...sometimes kwnye hii TNA( total non stop Action) ndo kabisa sipati picha kama wanaumiza vile kisa ni mchezo?na je wanalipwaje hawa watu..sijawa na details zao za kimalipo...

Kwa mdau wa mchezo huu mwenye details naomba kupata ufahamu zaidi

avatar
wazza
Junior Member

Re: Wadau Wa Wrestling (WWE)

Post by wazza on Thu Apr 19, 2018 5:16 pm

hii michezo waga si ya ukweli wanatupumbaza tu
avatar
Cena
New Member
New Member

Re: Wadau Wa Wrestling (WWE)

Post by Cena on Fri Apr 20, 2018 1:50 am

@wazza wrote:hii michezo waga si ya ukweli wanatupumbaza tu

Hivi maigizo hadi kutoana damu live, au hujawahi kuangalia WWE NO MERCY?!!

Sponsored content

Re: Wadau Wa Wrestling (WWE)

Post by Sponsored content


    Current date/time is Wed Dec 19, 2018 4:59 am