Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.

Join the forum, it's quick and easy

Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.

Soka Sports

Would you like to react to this message? Create an account in a few clicks or log in to continue.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

2 posters

    Jupp Heynckes kuendelea kufukuzia rekodi nyingine ya makombe 3 hii leo

    Leo
    Leo
    New Member
    New Member


    Jupp Heynckes kuendelea kufukuzia rekodi nyingine ya makombe 3 hii leo Empty Jupp Heynckes kuendelea kufukuzia rekodi nyingine ya makombe 3 hii leo

    Post by Leo Tue Apr 17, 2018 12:14 pm

    Jupp Heynckes kuendelea kufukuzia rekodi nyingine ya makombe 3 hii leo IMG_20180417_095416
    Hii leo nchini Ujerumani kutakuwa na pambano kubwa lingine, Bayern Leverkusen watakuwa nyumbani kwao kuikaribisiha Bayern Munich katika jaribo la kocha Jupp Heynckes kubeba makombe matatu tena.
    Heynckes tayari ametabiri kwamba Leverkusen ndio watakuwa wapinzani wakubwa wa Bayern Munich katika Bundesliga msimu unao, hii ni kutokana na ubora wao siku za usoni lakini hii leo wanakutana kwanza katika nusu fainali ya DFB Cup.
    Leverkusen wanakutana na Bayern Munich huku uwezo wao wa kuwakabili Bavarians ukiwa ni swali kubwa miongoni mwa watu, katika mechi mbili zilizopita katika Bundesliga Leverkusen wamefungwa zote na Munich.
    Mara ya mwisho timu hizi mbili zilikutana katika michuano hii katika robo fainali ya mwaka 2015, katika mchezo huo dakika 120 zilimalizika kukiwa hakuna mbabe. Mikwaju ya penati iliwapa ushindi Bayern kwenda nusu fainali.
    Mwaka 2009 wakati huo hadi Artulo Vidal alikuwa akiichezea Bayern Leverkusen ilikuwa mara ya mwisho kwa Leverkusen kuwafunga Munich katika michuano hiyo wakiibuka kidedea cha mabao 4-2.
    Mwaka 1993 ndio mara ya kwanza na mwisho kwa Leverkusen kubeba ubingwa wa DFB lakimi wapinzani wao Bayern Munich wenyewe wana rekodi ya kubeba kombe hili kwa mara 18 hadi hivi sasa.
    tom
    tom
    New Member
    New Member


    Jupp Heynckes kuendelea kufukuzia rekodi nyingine ya makombe 3 hii leo Empty Re: Jupp Heynckes kuendelea kufukuzia rekodi nyingine ya makombe 3 hii leo

    Post by tom Fri Apr 20, 2018 1:40 am

    ok

      Current date/time is Fri Apr 19, 2024 3:57 pm