Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

  • Post new topic
  • Reply to topic

TFF badilisheni kanuni mwakilishi wetu kombe la Shirikisho CAF mwaka huu!

ramsey
ramsey
Junior Member

TFF badilisheni kanuni mwakilishi wetu kombe la Shirikisho CAF mwaka huu! Empty TFF badilisheni kanuni mwakilishi wetu kombe la Shirikisho CAF mwaka huu!

Post by ramsey on Mon Apr 09, 2018 10:20 am

Ni dhahiri ratiba ya kombe la ligi ilikuwa ikipangwa kutegemea matokeo ya mechi ya timu za Azam, Simba na Yanga. Sasa timu hizo zimeotolewa katika michuano hiyo. Kwa utaratibu wa TFF mshindi ndo anayeiwakilisha nchi katika mashindano ya CAF yajulikanayo kama Shirikisho, mwaka huu timu moja wapo ya hizi "JKT Ruvu, Mtibwa, Singida United na Stand United " itaiwakilisha nchi yetu na hii itakuwa kinyume na matarajio ya TFF, hivo ni bora wakutane kwa dharura kuibadilisha ili mshindi wa pili kwenye VPL, inaweza kuwa Azam, Simba au Yanga, atuwakilishe msimu huu. Mshindi wa kombe la ligi apewe aksante tu.
  • Post new topic
  • Reply to topic

Current date/time is Fri May 24, 2019 10:32 pm