Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

Buyern yamchapa mtu sita uganini

Nani
Nani
Junior Member

Buyern yamchapa mtu sita uganini Empty Buyern yamchapa mtu sita uganini

Post by Nani on Wed Apr 18, 2018 10:32 am

Buyern yamchapa mtu sita uganini 38091-large

Bayern Munich imezidi kuonesha ubabe kwenye Kombe la Ujerumani baada ya kuitandika vilivyo Bayer Leverkusen kwa jumla ya mabao 6-2 ikiwa ugenini.

Kichapo hicho kimewapata Leverkusen wakiwa kwao katika mchezo wa nusu fainali uliopigwa Uwanja wa BayArena usiku wa Jumanne.

Mkongwe Thomas Muller aliingia kambani mara tatu huku Alcantara na Lewandowsk wakipiga bao moja kwa kila mmoja.
babu
babu
New Member
New Member

Buyern yamchapa mtu sita uganini Empty Re: Buyern yamchapa mtu sita uganini

Post by babu on Wed Apr 18, 2018 11:17 am

salamu kwa Zidane
Zombie
Zombie
Junior Member

Buyern yamchapa mtu sita uganini Empty Re: Buyern yamchapa mtu sita uganini

Post by Zombie on Thu Apr 19, 2018 11:34 am

@babu wrote:salamu kwa Zidane
madreid ajiandae kisaikolojia

Buyern yamchapa mtu sita uganini Empty Re: Buyern yamchapa mtu sita uganini

Post by celine dion on Thu Apr 19, 2018 12:16 pm

madreid ndo nani?
King
King
Junior Member

Buyern yamchapa mtu sita uganini Empty Re: Buyern yamchapa mtu sita uganini

Post by King on Thu Apr 19, 2018 1:14 pm

@celine dion wrote:madreid ndo nani?
Very Happy Very Happy Very Happy Very Happy  hata mimi nimeshangaa
Hamiliton
Hamiliton
Junior Member

Buyern yamchapa mtu sita uganini Empty Re: Buyern yamchapa mtu sita uganini

Post by Hamiliton on Thu Apr 19, 2018 1:36 pm

FC BAYERN CHAMPIONS 2017/2018
Tecno
Tecno
New Member
New Member

Buyern yamchapa mtu sita uganini Empty Re: Buyern yamchapa mtu sita uganini

Post by Tecno on Thu Apr 19, 2018 3:56 pm

hongera kwao
xavi
xavi
New Member
New Member

Buyern yamchapa mtu sita uganini Empty Re: Buyern yamchapa mtu sita uganini

Post by xavi on Fri Apr 20, 2018 1:36 am

@Hamiliton wrote:FC BAYERN CHAMPIONS 2017/2018

champio wa nini/

Sponsored content

Buyern yamchapa mtu sita uganini Empty Re: Buyern yamchapa mtu sita uganini

Post by Sponsored content

    Current date/time is Mon Jul 22, 2019 7:17 pm