Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

  • Post new topic
  • Reply to topic

Yanga: Tatizo namba moja ni Clement Sanga.

Nani
Nani
Junior Member

Yanga: Tatizo namba moja ni Clement Sanga. Empty Yanga: Tatizo namba moja ni Clement Sanga.

Post by Nani on Wed Apr 18, 2018 10:38 am

Habari wanamichezo!
Tangu kujiuzulu kwa Manji timu sauti ya mamlaka ya kiungozi imepotea!Huo ndo ukweli hata ukibisha. Tatizo la Mzee Sanga nikupenda madaraka ambayo pia hajui atayapataje,yupo yupo tu ,kifupi hajielewi.
Kajaribu kuwajaza watendaji wa upande wake ,lakini nao ni tatizo yaani mizigo .Yanga chini ya Clement Sanga imekuwa yanga ya malalamiko, na kibaya zaidi tumeaminishwa kuwa timu haina pesa ,mpaka wengine tumechangia. Timu ina udhamini:
Vodacom
Maji ya Afya
Yanga tv kupitia azam TV
Sportpesa.
Gate collection n.k.
Cha ajabu mishahara inacheleweshwa ,wachezaji hawaambiwi sababu, kama kuna upungufu ni wa kiasi gani wanachama hatujui. Ni ngojera kila uchao.
Mzee huyu ameshindwa hata kuitisha mkutano wa wanachama ili nafas hiyo izibwe,sasa katuwekea Katibu ambae anaetamani kuwa Kocha,very selfish, sasa amemleta msemaji ambae ameshindwa kuisemea brand ya timu yetu. Umaarufu wa timu unashuka ,si bora Jerry Muro pamoja na mapungufu kadhaa ila alisaidia kuimarisha brand ya club yetu.
Ndugu Dismas ten ,hata huko alikotokea hakuwa jina lenye ushawishi,sijui ni ndugu wa Mzee Sanga.
Nasikia eti Mzee wa saba anaitaka timu ,sawa. Asifikirie yanga nikama taifa stars ,watu watamfanyia vurugu kama Nchunga.
Naskia umeitwa mkutano mwezi Mei, lengo ni kubadili Muundo wa wendeshaji, sambamba na hilo . Uongozi chini ya Sanga utupishe tujaribu akili mpya , hata huyo atakaenunua hisa namuonea huruma,Atapata hasara isiyo mithilika. Tunataka akili mpya .Na siendi uwanjani tena. Mpaka hata majinamizi yapishe.
ramsey
ramsey
Junior Member

Yanga: Tatizo namba moja ni Clement Sanga. Empty Re: Yanga: Tatizo namba moja ni Clement Sanga.

Post by ramsey on Wed Apr 18, 2018 10:40 am

sawa ila nina wasiwas na wewe inawezekana wewe ni mikia sc

Yanga: Tatizo namba moja ni Clement Sanga. Empty Re: Yanga: Tatizo namba moja ni Clement Sanga.

Post by bakayoko chelsea on Wed Apr 18, 2018 10:42 am

Yanga imebaki jina Tangu malinzi atoke haijawai kuongoza ligi Very Happy Very Happy Very Happy Very Happy
Jogoo
Jogoo
New Member
New Member

Yanga: Tatizo namba moja ni Clement Sanga. Empty Re: Yanga: Tatizo namba moja ni Clement Sanga.

Post by Jogoo on Wed Apr 18, 2018 10:43 am

Yanga tumeanza kushikana uchawi
Jogoo
Jogoo
New Member
New Member

Yanga: Tatizo namba moja ni Clement Sanga. Empty Re: Yanga: Tatizo namba moja ni Clement Sanga.

Post by Jogoo on Wed Apr 18, 2018 10:44 am

@bakayoko chelsea wrote:Yanga imebaki jina Tangu malinzi atoke haijawai kuongoza ligi Very Happy Very Happy Very Happy Very Happy
msimu ujao ni kushuka daraja Laughing Laughing Laughing
mikael
mikael
Junior Member

Yanga: Tatizo namba moja ni Clement Sanga. Empty Re: Yanga: Tatizo namba moja ni Clement Sanga.

Post by mikael on Wed Apr 18, 2018 10:48 am

kwani simba inamafanikio gani? inamaana nyie mnataka kila msimu timu ibebe kombe? kwani inashiriki peke ake? acheni unazi wa kishamba bwana

Yanga: Tatizo namba moja ni Clement Sanga. Empty Re: Yanga: Tatizo namba moja ni Clement Sanga.

Post by mimi na yanga on Wed Apr 18, 2018 10:52 am

wewe itakua umetumwa si bure!

Yanga: Tatizo namba moja ni Clement Sanga. Empty Re: Yanga: Tatizo namba moja ni Clement Sanga.

Post by kiboko yao on Wed Apr 18, 2018 10:58 am

Tangu kuondoka kwa Manji yanga inatapatapa Timu imepoteana hailewani, mishahara inalimbikizwa, Kocha Lwandamina mara ya mwisho alilipwa mshahara mwezi Decemba, 
Hivi kwa hali kama hii unategemea timu ifanye vizuri?

Mkwasa amekua muongo anaongopea wachezaji juu ya stahiki zao
babu
babu
New Member
New Member

Yanga: Tatizo namba moja ni Clement Sanga. Empty Re: Yanga: Tatizo namba moja ni Clement Sanga.

Post by babu on Wed Apr 18, 2018 11:13 am

huu sio wakati wa wanayanga kuanza kulaumiana Yanga iko nafasi ya pili lakini bado analaumiwa hivyo? hivi nyinyi mlitakaje kwa mfano?
dembele
dembele
Junior Member

Yanga: Tatizo namba moja ni Clement Sanga. Empty Re: Yanga: Tatizo namba moja ni Clement Sanga.

Post by dembele on Wed Apr 18, 2018 11:40 am

hapo kwenye swala la msemaji wa klabu nakuunga mkono dismas hana mvuto wala kashkash zozote,
pia mkwasa inabidi abadilike tamaa yake itaigharimu yanga
King
King
Junior Member

Yanga: Tatizo namba moja ni Clement Sanga. Empty Re: Yanga: Tatizo namba moja ni Clement Sanga.

Post by King on Thu Apr 19, 2018 1:12 pm

Timu kuyumba kiuchumi ni kawaida sana Cha msingi ni kutulia kwanza mkianza kutibuana sasaivi si vyema tulia msimu uishe marekebisho ndo yafuate
Payet
Payet
Junior Member

Yanga: Tatizo namba moja ni Clement Sanga. Empty Re: Yanga: Tatizo namba moja ni Clement Sanga.

Post by Payet on Thu Apr 19, 2018 1:53 pm

Hayo ni maoni yako
Mtata
Mtata
New Member
New Member

Yanga: Tatizo namba moja ni Clement Sanga. Empty Re: Yanga: Tatizo namba moja ni Clement Sanga.

Post by Mtata on Thu Apr 19, 2018 2:42 pm

Tangu lini shabiki wa simba akatoa ushauri yanga?
Edga
Edga
New Member
New Member

Yanga: Tatizo namba moja ni Clement Sanga. Empty Re: Yanga: Tatizo namba moja ni Clement Sanga.

Post by Edga on Thu Apr 19, 2018 4:25 pm

sawa
tom
tom
New Member
New Member

Yanga: Tatizo namba moja ni Clement Sanga. Empty Re: Yanga: Tatizo namba moja ni Clement Sanga.

Post by tom on Fri Apr 20, 2018 1:40 am

@ramsey wrote:sawa ila nina wasiwas na wewe inawezekana wewe ni mikia sc

Laughing Laughing Laughing Laughing Laughing  hata mim nimehisi

Sponsored content

Yanga: Tatizo namba moja ni Clement Sanga. Empty Re: Yanga: Tatizo namba moja ni Clement Sanga.

Post by Sponsored content

  • Post new topic
  • Reply to topic

Current date/time is Fri May 24, 2019 10:31 pm