Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

Harusi ya Ali Kiba kumuingizia zaidi ya Milioni 600 ,huku Azam kumlipa zaidi ya milioni 200 kwa kuonyesha live

Share
Jogoo
Jogoo
New Member
New Member

Harusi ya Ali Kiba kumuingizia zaidi ya Milioni 600 ,huku Azam kumlipa zaidi ya milioni 200 kwa kuonyesha live

Post by Jogoo on Wed Apr 18, 2018 10:46 am

%7D%7D&__tn__=%2As-R][ltr]#Mombasa[/ltr];Harusi ya Ali Kiba kumuingizia zaidi ya Milioni 600 ,huku Azam kumlipa zaidi ya milioni 200 kwa kuonyesha live
Msanii wa BongoFlavour @officialalikiba Kuvuna mamilioni mwezi huu.
AzamTv wamenunua rights za kurusha Harusi ya Alikiba. Worth deal ni more than 90,000$, zaidi ya Million 204,331,500.00 Tsh.
Harusi ya kwanza Mombasa tarehe 19, mapokezi Dar tarehe 29 April.
Hakuna chombo cha habari kingine kitaruhusiwa hata kupiga picha! Mambo yote yataripotiwa na AzamTV.
Mbali na hayo, Tayar makumpuni makubwa 19 ya East Africa yameingia mkataba wa ku-finance Harusi hiyo, kitu ambacho kinakadiliwa kwa Msanii huyo kutengeneza more than 600 Million Tsh just kupitia matukio ya harusi yake.
Hii ni ishara tosha ya kupanda kwa thamani ya Wasanii wetu, Mziki unakuwa sawia na economic profiles zao.

%7D%7D&__tn__=EH-R]
mikael
mikael
Junior Member

Re: Harusi ya Ali Kiba kumuingizia zaidi ya Milioni 600 ,huku Azam kumlipa zaidi ya milioni 200 kwa kuonyesha live

Post by mikael on Wed Apr 18, 2018 10:51 am

king kiba Arrow Arrow Arrow Arrow

Re: Harusi ya Ali Kiba kumuingizia zaidi ya Milioni 600 ,huku Azam kumlipa zaidi ya milioni 200 kwa kuonyesha live

Post by kiboko yao on Wed Apr 18, 2018 10:55 am

Tatizo letu wa Tanzania uongo sijui unatatusaidia nini? Azam ikulipe milion 200 kwa kuonyesha ndoa yako? wewe umekua nani haswa?
acheni unafiki na kupika takwimu

Re: Harusi ya Ali Kiba kumuingizia zaidi ya Milioni 600 ,huku Azam kumlipa zaidi ya milioni 200 kwa kuonyesha live

Post by celine dion on Thu Apr 19, 2018 11:54 am

sawa
Kun
Kun"
Junior Member

Re: Harusi ya Ali Kiba kumuingizia zaidi ya Milioni 600 ,huku Azam kumlipa zaidi ya milioni 200 kwa kuonyesha live

Post by Kun" on Thu Apr 19, 2018 1:02 pm

@kiboko yao wrote:Tatizo letu wa Tanzania uongo sijui unatatusaidia nini? Azam ikulipe milion 200 kwa kuonyesha ndoa yako? wewe umekua nani haswa?
acheni unafik
Tim mond mnashida sana
Hamiliton
Hamiliton
Junior Member

Re: Harusi ya Ali Kiba kumuingizia zaidi ya Milioni 600 ,huku Azam kumlipa zaidi ya milioni 200 kwa kuonyesha live

Post by Hamiliton on Thu Apr 19, 2018 1:41 pm

Hongera kwake

Re: Harusi ya Ali Kiba kumuingizia zaidi ya Milioni 600 ,huku Azam kumlipa zaidi ya milioni 200 kwa kuonyesha live

Post by Virgin Jack on Thu Apr 19, 2018 4:59 pm

ndoa za wasanii wanaoana kwa mbwembwe kibao halafu wanaachana ndani ya muda mfupi
halima
halima
New Member
New Member

Re: Harusi ya Ali Kiba kumuingizia zaidi ya Milioni 600 ,huku Azam kumlipa zaidi ya milioni 200 kwa kuonyesha live

Post by halima on Fri Apr 20, 2018 1:58 am

alikiba amejitahidi Mungu amjalie

Sponsored content

Re: Harusi ya Ali Kiba kumuingizia zaidi ya Milioni 600 ,huku Azam kumlipa zaidi ya milioni 200 kwa kuonyesha live

Post by Sponsored content

    Current date/time is Fri Feb 22, 2019 5:37 pm