Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

  • Post new topic
  • Reply to topic

Simba wafanya mazoezi Morogoro Leo kwa maandalizi dhidi ya Lipuli

Simba wafanya mazoezi Morogoro Leo kwa maandalizi dhidi ya Lipuli Empty Simba wafanya mazoezi Morogoro Leo kwa maandalizi dhidi ya Lipuli

Post by Soka Sport on Thu Apr 19, 2018 11:22 am

Simba wafanya mazoezi Morogoro Leo kwa maandalizi dhidi ya Lipuli SIMBAMBAMBA

Kikosi cha Simba kinafanya mazoezi yake leo kikiwa mjini Morogoro kwenye Uwanja wa Jamhuri ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea mchezo wake wa ligi dhidi ya Lipuli FC.

Simba imeweka kambi maalum ya muda mfupi mjini Morogoro kabla ya kuondoka kesho Ijumaa kuelekea Iringa kukipiga na Lipuli.

Wekundu hao wa Msimbazi waliwasili jana majira ya saa 7 mjini Morogoro ili kuanza kujinoa kwa ajili ya safari ya kuwania ubingwa uliokosekana kwa takribani misimu mitano.

Kikosi hicho kinahitaji jumla ya alama 14 pekee ili kutangazwa kuwa mabingwa wa ligi msimu huu, na hivi sasa wapo mbele kwa jumla ya utofauti wa pointi 11 dhidi ya Yanga.
  • Post new topic
  • Reply to topic

Current date/time is Fri May 24, 2019 10:31 pm