Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

Yanga kuingia hatua ya makundi na kuidharau VPL ni uboya au upoyoyo?

Share
Zombie
Zombie
Junior Member

Yanga kuingia hatua ya makundi na kuidharau VPL ni uboya au upoyoyo?

Post by Zombie on Thu Apr 19, 2018 11:30 am

kwanza niwapongeze yanga kwa kuingia hatua ya Makundi ...mmepata pesa lazima tuwapongeze katika hilo!

lakini hii jeuri ya kuitukana ligi yetu VPL kwakuwa tu mmepata hela je ni ujinga au ni ule msemo Wa maskini akipata matako hulia mbwata?

Leo hii mmesahau kuwa ligi ndio iliyosababisha mkapata hizo m 600?

"tumechukua m600 , wakati ligi wanatoa m80, kwahiyo sisi ni zaidi kuliko Simba!"

yanga bhana!

sasa niwaambie tu kwa matusi haya ..mwakani ndege mtaiona kwenye movie za kivita tu shenzi type....

vinginevyo tar 29..tutaongeza dozi badala ya 5 zitakuwa 7.
dembele
dembele
Junior Member

Re: Yanga kuingia hatua ya makundi na kuidharau VPL ni uboya au upoyoyo?

Post by dembele on Thu Apr 19, 2018 11:43 am

vipi angeingia simba asingeyasema hayo?

Re: Yanga kuingia hatua ya makundi na kuidharau VPL ni uboya au upoyoyo?

Post by P. Dybala on Thu Apr 19, 2018 12:25 pm

Simba wameumia sana Yanga kufuzu Embarassed

Re: Yanga kuingia hatua ya makundi na kuidharau VPL ni uboya au upoyoyo?

Post by P. Dybala on Thu Apr 19, 2018 12:29 pm

@dembele wrote:vipi angeingia simba asingeyasema hayo?
hapo sasa
Kun
Kun"
Junior Member

Re: Yanga kuingia hatua ya makundi na kuidharau VPL ni uboya au upoyoyo?

Post by Kun" on Thu Apr 19, 2018 1:02 pm

Huo ni utani tu kwani unafikiri wao VPL hawalipendi?

Re: Yanga kuingia hatua ya makundi na kuidharau VPL ni uboya au upoyoyo?

Post by Justine Jr on Thu Apr 19, 2018 4:45 pm

young Africans Sports Club, maarufu kama Yanga, ndio timu pekee Tanzania na Ukanda mzima wa Afrika Mashariki iliyobaki kwenye michuano ya vilabu Afrika. Licha ya kutokuwa na pesa, kama zilivyo klabu zingine zinazoitwa "tajiri" (mi naziita klabu zinazotumia pesa lukuki bila mpangilio ili kutafuta mafanikio ya soka)

Sponsored content

Re: Yanga kuingia hatua ya makundi na kuidharau VPL ni uboya au upoyoyo?

Post by Sponsored content

    Current date/time is Fri Feb 22, 2019 5:43 pm