Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

  • Post new topic
  • Reply to topic

Diva the Bawse akanusha kuwa na mimba, akanusha kuwahi kuwa na uhusiano na Michael Lukindo!

Diva the Bawse akanusha kuwa na mimba, akanusha kuwahi kuwa na uhusiano na Michael Lukindo! Empty Diva the Bawse akanusha kuwa na mimba, akanusha kuwahi kuwa na uhusiano na Michael Lukindo!

Post by celine dion on Thu Apr 19, 2018 11:52 am

Mwanadada mwenye mvuto wa kuweza kumshawishi mtu kulipa mahari ya Tsh miln 500, na anayeongoza Tanzania nzima kwa sauti nzuri ya utangazaji redioni. Leo akihojiwa na mbea sugu Sudy Brown kwenye kipindi cha xxl muda wa saa 9:00 mchana wa tarehe 17/04/2018, amekanusha kuwa na mimba na amekanusha kuwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Michael Lukindo.

Diva the bawse lady wa Tz akiongea kwa jazba huku matusi ya nguvu akimporomoshea mtangazaji mwenzie Michael Lukindo akimwambia asimzoee kabisa, kwani amezoea tabia yake ya kusingizia kutoka kimapenzi na wadada kadhaa wa mujini alianza singizia kutoka na jokate na wengine, lakini yeye Diva ni mwisho wa reli atampeleka polisi na kumuonesha mfano!

Diva the Bawse akanusha kuwa na mimba, akanusha kuwahi kuwa na uhusiano na Michael Lukindo! Empty Re: Diva the Bawse akanusha kuwa na mimba, akanusha kuwahi kuwa na uhusiano na Michael Lukindo!

Post by Virgin Jack on Thu Apr 19, 2018 5:02 pm

Diva hajielewi

Diva the Bawse akanusha kuwa na mimba, akanusha kuwahi kuwa na uhusiano na Michael Lukindo! Empty Re: Diva the Bawse akanusha kuwa na mimba, akanusha kuwahi kuwa na uhusiano na Michael Lukindo!

Post by keyboard on Thu Apr 19, 2018 5:09 pm

@Virgin Jack wrote:Diva hajielewi
kwanini?
wazza
wazza
Junior Member

Diva the Bawse akanusha kuwa na mimba, akanusha kuwahi kuwa na uhusiano na Michael Lukindo! Empty Re: Diva the Bawse akanusha kuwa na mimba, akanusha kuwahi kuwa na uhusiano na Michael Lukindo!

Post by wazza on Thu Apr 19, 2018 5:18 pm

Hivi huyu diva yeye anajionaga ni mzuri kiasi gani? mtu mwenyewe hata mvuto hana
rosee
rosee
New Member
New Member

Diva the Bawse akanusha kuwa na mimba, akanusha kuwahi kuwa na uhusiano na Michael Lukindo! Empty Re: Diva the Bawse akanusha kuwa na mimba, akanusha kuwahi kuwa na uhusiano na Michael Lukindo!

Post by rosee on Fri Apr 20, 2018 12:35 am

@wazza wrote:Hivi huyu diva yeye anajionaga ni mzuri kiasi gani? mtu mwenyewe hata mvuto hana

hahahahaha
xavi
xavi
New Member
New Member

Diva the Bawse akanusha kuwa na mimba, akanusha kuwahi kuwa na uhusiano na Michael Lukindo! Empty Re: Diva the Bawse akanusha kuwa na mimba, akanusha kuwahi kuwa na uhusiano na Michael Lukindo!

Post by xavi on Fri Apr 20, 2018 1:37 am

@wazza wrote:Hivi huyu diva yeye anajionaga ni mzuri kiasi gani? mtu mwenyewe hata mvuto hana

ameshawambia anataka milioni 500

Sponsored content

Diva the Bawse akanusha kuwa na mimba, akanusha kuwahi kuwa na uhusiano na Michael Lukindo! Empty Re: Diva the Bawse akanusha kuwa na mimba, akanusha kuwahi kuwa na uhusiano na Michael Lukindo!

Post by Sponsored content

  • Post new topic
  • Reply to topic

Current date/time is Fri May 24, 2019 10:29 pm