Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

RUBY AELEZA ANACHOKIPENDA KUTOKA KWA JUX

Share

RUBY AELEZA ANACHOKIPENDA KUTOKA KWA JUX

Post by celine dion on Thu Apr 19, 2018 11:55 am


Msanii wa muziki Bongo, Ruby amefunguka kuhusu kuvutiwa na Jux kwa upande wa uimbaji wake.
Muimbaji huyo amekuwa akivutiwa zaidi na wimbo wa Jux unaokwenda kwa jina la Utaniua.
“Kwa sababu nyimbo za Jux karibia zote zinawashika kwanza wanawake, halafu pia uimbaji wake ni RnB ambayo anaweza kuimba mwanaume au mwanamke, kwa hiyo nafikiri ule uliniingia zaidi,” amesema Ruby.
Ruby kwa sasa anafanya vizuri kwa sasa na ngoma ‘One and Only’ aliyoshirikishwa na Nedy Music.

Re: RUBY AELEZA ANACHOKIPENDA KUTOKA KWA JUX

Post by P. Dybala on Thu Apr 19, 2018 12:36 pm

Ruby ashamtamani Jux
Kun
Kun"
Junior Member

Re: RUBY AELEZA ANACHOKIPENDA KUTOKA KWA JUX

Post by Kun" on Thu Apr 19, 2018 1:00 pm

@P. Dybala wrote:Ruby ashamtamani Jux
kwa bongo si ajabu utashangaa mda kidogo tu washakua na mahusiano
Hamiliton
Hamiliton
Junior Member

Re: RUBY AELEZA ANACHOKIPENDA KUTOKA KWA JUX

Post by Hamiliton on Thu Apr 19, 2018 1:43 pm

Basi poa

Sponsored content

Re: RUBY AELEZA ANACHOKIPENDA KUTOKA KWA JUX

Post by Sponsored content


    Current date/time is Fri Feb 22, 2019 5:36 pm