Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

  • Post new topic
  • Reply to topic

STAA DAIMOND ALIKOLOGA BASATA NAO WAMWITA .

STAA DAIMOND ALIKOLOGA BASATA NAO WAMWITA . Empty STAA DAIMOND ALIKOLOGA BASATA NAO WAMWITA .

Post by celine dion on Thu Apr 19, 2018 11:57 am

STAA DAIMOND ALIKOLOGA BASATA NAO WAMWITA . IMG_6777
[size=16]Msanii wa muziki Bongo, Diamond Platnumz leo, April 18, 2018 amefika ofisi za Baraza la Sanaa Taifa (BASATA).
Muimbaji huyo wa ngoma ‘African Beaut’ amefika ofisi za Basata akiongoza na mameneja wake, Sallam SK, Mkubwa Fella pamoja na msanii Harmonize.
Taarifa za ndani zinaeleza kuwa Diamond ameitwa na Baraza hilo kwa lengo la kukumbushwa masuala mbalimbali kuhusiana na muziki wake.
Wiki tatu zilizopita March 23, 2018 Diamond pamoja na meneja wake walifika Basata hata hivyo pande zote mbili hazikuweka wazi kile kilichojadiliwa baina yao. Hata hivyo safari hiyo ilijiri katika kipindi ambacho nyimbo mbili za Diamond ‘Waka na Hallelujah’ zilipofungiwa.[/size]
dembele
dembele
Junior Member

STAA DAIMOND ALIKOLOGA BASATA NAO WAMWITA . Empty Re: STAA DAIMOND ALIKOLOGA BASATA NAO WAMWITA .

Post by dembele on Thu Apr 19, 2018 12:04 pm

sawa

STAA DAIMOND ALIKOLOGA BASATA NAO WAMWITA . Empty Re: STAA DAIMOND ALIKOLOGA BASATA NAO WAMWITA .

Post by P. Dybala on Thu Apr 19, 2018 12:36 pm

wamuache dogo atambe bwana, Yani tatizo la Bongo hawapendi mtu utoboe wivu wivu tu usio na tija
Kun
Kun"
Junior Member

STAA DAIMOND ALIKOLOGA BASATA NAO WAMWITA . Empty Re: STAA DAIMOND ALIKOLOGA BASATA NAO WAMWITA .

Post by Kun" on Thu Apr 19, 2018 1:01 pm

@P. Dybala wrote:wamuache dogo atambe bwana, Yani tatizo la Bongo hawapendi mtu utoboe wivu wivu tu usio na tija
kwaiyo wamuache atoboe mpaka sheria?
Hamiliton
Hamiliton
Junior Member

STAA DAIMOND ALIKOLOGA BASATA NAO WAMWITA . Empty Re: STAA DAIMOND ALIKOLOGA BASATA NAO WAMWITA .

Post by Hamiliton on Thu Apr 19, 2018 1:42 pm

Kun\" wrote:kwaiyo wamuache atoboe mpaka sheria?
ametoboa sheria gani? Profesa Jay aliseama tatizo tumeweka madingi kwenye hii wizara hawajui lolote kuhusu sanaa
Payet
Payet
Junior Member

STAA DAIMOND ALIKOLOGA BASATA NAO WAMWITA . Empty Re: STAA DAIMOND ALIKOLOGA BASATA NAO WAMWITA .

Post by Payet on Thu Apr 19, 2018 1:58 pm

@Hamiliton wrote:ametoboa sheria gani? Profesa Jay aliseama tatizo tumeweka madingi kwenye hii wizara hawajui lolote kuhusu sanaa
Very Happy Very Happy Very Happy Very Happy

STAA DAIMOND ALIKOLOGA BASATA NAO WAMWITA . Empty Re: STAA DAIMOND ALIKOLOGA BASATA NAO WAMWITA .

Post by Justine Jr on Thu Apr 19, 2018 4:49 pm

Mwnye pesa hafungwagi
tom
tom
New Member
New Member

STAA DAIMOND ALIKOLOGA BASATA NAO WAMWITA . Empty Re: STAA DAIMOND ALIKOLOGA BASATA NAO WAMWITA .

Post by tom on Fri Apr 20, 2018 1:42 am

@Justine Jr wrote:Mwnye pesa hafungwagi

sijui umejifikirianini kuandika hivi afro

Sponsored content

STAA DAIMOND ALIKOLOGA BASATA NAO WAMWITA . Empty Re: STAA DAIMOND ALIKOLOGA BASATA NAO WAMWITA .

Post by Sponsored content

  • Post new topic
  • Reply to topic

Current date/time is Fri May 24, 2019 10:30 pm