Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

  • Post new topic
  • Reply to topic

WAWAKILISHI JUMUIYA YA MADOLA WAREJEA.

WAWAKILISHI JUMUIYA YA MADOLA WAREJEA. Empty WAWAKILISHI JUMUIYA YA MADOLA WAREJEA.

Post by celine dion on Thu Apr 19, 2018 12:14 pm

WAWAKILISHI JUMUIYA YA MADOLA WAREJEA. PIX-2-3-1024x831-696x565
Kiongozi wa Msafara wa wachezaji waliyokwenda katika Mashindano ya Jumuiya ya Madola nchini Australia ambaye Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bw.Yusuph Singo akizungumza na kwa waandishi wa habari (hawapo picha)kuhusu hali ya mashindano pamoja na suala la mchezaji mmoja kutoroka kambini  mara baada ya kuwasili nchini leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wa Jijini Dar es Salaam.
Bondia Selemani Kidunda (wa kwanza) akiwasilini leo jijini Dar es Salaam katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere akitokea nchini Australia ambapo alikwenda kwa ajili ya Mashindano ya Jumuiya ya Madola  nyuma yake ni Bondia mwenzie Haruna Swanga.
Mwanariadha wakike Bi.Sara Ramadhani akiwa amewasili nchini katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo akitokea nchini Australia ambapo alikwenda katika Mashindano ya Jumuiya ya Madola na ameshika nafasi ya tisa katika mbio za Kilometa 42.
Kapteni wa Timu ya wachezaji waliyokwenda nchini Australia katika Mashindano ya Jumuiya ya Madola Bw.Masoud Mtalaso (kulia) akirejesha bendera aliyokabidhiwa wakati wanakwenda katika mashindano kwa Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bw.Alex Nkenyenge (kushoto) mara baada ya kurejea nchini leo jijini Dar es Salaam.
Kun
Kun"
Junior Member

WAWAKILISHI JUMUIYA YA MADOLA WAREJEA. Empty Re: WAWAKILISHI JUMUIYA YA MADOLA WAREJEA.

Post by Kun" on Thu Apr 19, 2018 12:40 pm

watalii hao hamna lolote kumaliza pesa tu, Ndio maana mwingine alitoroka kambini na mpaka sasa hajarejea
Hamiliton
Hamiliton
Junior Member

WAWAKILISHI JUMUIYA YA MADOLA WAREJEA. Empty Re: WAWAKILISHI JUMUIYA YA MADOLA WAREJEA.

Post by Hamiliton on Thu Apr 19, 2018 1:45 pm

kuna niliyemsikia anasema alishindwa kwasababu alipungukiwa maji! aisee watu ni wapuuzi sana
Mtata
Mtata
New Member
New Member

WAWAKILISHI JUMUIYA YA MADOLA WAREJEA. Empty Re: WAWAKILISHI JUMUIYA YA MADOLA WAREJEA.

Post by Mtata on Thu Apr 19, 2018 2:39 pm

@Hamiliton wrote:kuna niliyemsikia anasema alishindwa kwasababu alipungukiwa maji! aisee watu ni wapuuzi sana
Very Happy Very Happy Very Happy Very Happy Very Happy Very Happy
dembele
dembele
Junior Member

WAWAKILISHI JUMUIYA YA MADOLA WAREJEA. Empty Re: WAWAKILISHI JUMUIYA YA MADOLA WAREJEA.

Post by dembele on Thu Apr 19, 2018 2:54 pm

kaz kweli kweli
Edga
Edga
New Member
New Member

WAWAKILISHI JUMUIYA YA MADOLA WAREJEA. Empty Re: WAWAKILISHI JUMUIYA YA MADOLA WAREJEA.

Post by Edga on Thu Apr 19, 2018 4:25 pm

Hongera zao kwa kuizuru Australia
Zizzou
Zizzou
New Member
New Member

WAWAKILISHI JUMUIYA YA MADOLA WAREJEA. Empty Re: WAWAKILISHI JUMUIYA YA MADOLA WAREJEA.

Post by Zizzou on Thu Apr 19, 2018 4:35 pm

@Hamiliton wrote:kuna niliyemsikia anasema alishindwa kwasababu alipungukiwa maji! aisee watu ni wapuuzi sana

Very Happy Very Happy Very Happy je kama ni kweli aliishiwa maji?
wazza
wazza
Junior Member

WAWAKILISHI JUMUIYA YA MADOLA WAREJEA. Empty Re: WAWAKILISHI JUMUIYA YA MADOLA WAREJEA.

Post by wazza on Thu Apr 19, 2018 5:19 pm

Kun\" wrote:watalii hao hamna lolote kumaliza pesa tu, Ndio maana mwingine alitoroka kambini na mpaka sasa hajarejea
Very Happy Very Happy Very Happy Very Happy Very Happy Very Happy Very Happy Ameona bongo bahati mbaya akakamata Fursa
tom
tom
New Member
New Member

WAWAKILISHI JUMUIYA YA MADOLA WAREJEA. Empty Re: WAWAKILISHI JUMUIYA YA MADOLA WAREJEA.

Post by tom on Fri Apr 20, 2018 1:42 am

Tanzania hatujulikani mchezo tunaouweza

Sponsored content

WAWAKILISHI JUMUIYA YA MADOLA WAREJEA. Empty Re: WAWAKILISHI JUMUIYA YA MADOLA WAREJEA.

Post by Sponsored content

  • Post new topic
  • Reply to topic

Current date/time is Fri May 24, 2019 10:54 pm