Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

  • Post new topic
  • Reply to topic

Masikitiko : Yanga kushuka daraja

Masikitiko : Yanga kushuka daraja Empty Masikitiko : Yanga kushuka daraja

Post by Roy on Sun Jul 22, 2018 11:01 am

Huku pazia la Ligi kuu ya Vodacom likikaribia kufunguliwa wachambuzi wengi wa soka nchini Tanzania wanatambua matatizo makubwa yanayoikabili timu ya Yanga , wengi wanaongelea chini kwa chini uwezekano wa Yanga kushuka daraja.

Mimi nimeamua kujitokeza waziwazi na kutamka hadharani kwamba timu kongwe nchini Tanzani , Yanga ya Dar es salaam msimu huu wa ligi ITASHUKA DARAJA na kusambaratika , Hii siyo ramli bali ni ukweli kwamba ili timu iendelee kubaki ligi kuu inahitaji ushindi , kwa sasa YANGA HAIWEZI KUIFUNGA TIMU YOYOTE YA LIGI KUU , na inakabiliwa na aibu ambayo haijawahi kupata pale itakapokumbana na Mnyama .

Kama huifuatilii hii timu unaweza kudhani uzi huu ni wa masihara lakini muda ni mwalimu mzuri , Endeleeni kufuatilia
dUMA
dUMA
Junior Member

Masikitiko : Yanga kushuka daraja Empty Re: Masikitiko : Yanga kushuka daraja

Post by dUMA on Sun Jul 22, 2018 11:18 am

never Evil or Very Mad Evil or Very Mad
vampire
vampire
New Member
New Member

Masikitiko : Yanga kushuka daraja Empty Re: Masikitiko : Yanga kushuka daraja

Post by vampire on Sun Jul 22, 2018 11:24 am


never Evil or Very Mad Evil or Very Mad

anajifariji huyo achana nae

Sponsored content

Masikitiko : Yanga kushuka daraja Empty Re: Masikitiko : Yanga kushuka daraja

Post by Sponsored content

  • Post new topic
  • Reply to topic

Current date/time is Fri May 24, 2019 11:07 pm