Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

  • Post new topic
  • Reply to topic

Chonde chonde Simba, shindeni mechi ya leo tuchukue ubingwa

LITHIUM
LITHIUM
New Member
New Member

Chonde chonde Simba, shindeni mechi ya leo tuchukue ubingwa Empty Chonde chonde Simba, shindeni mechi ya leo tuchukue ubingwa

Post by LITHIUM on Mon Apr 09, 2018 4:09 pm

Habari wadau!!
Hakuna asiyejua kuwa Klabu ya Simba inahitaji ubingwa kwa nguvu zote
na ili kufanikisha hili ni lazima Simba wampige Mtibwa sugar ugenini Leo ili kutengeneza njia …Tunajua ni mechi ngumu lakini bila ushindi ni kazi sana Kuwa bingwa.
Mechi ya Mbeya city , Tz Prison, Lipuli, Yanga, na Mtibwa yaani Leo ni mechi za Ubingwa kabla hatujamfikiria Singida utd Hawa ndio watakao Tuzuia .

Tuanze Leo
Anonymous
Google
Guest

Chonde chonde Simba, shindeni mechi ya leo tuchukue ubingwa Empty Re: Chonde chonde Simba, shindeni mechi ya leo tuchukue ubingwa

Post by Google on Mon Apr 09, 2018 4:35 pm

Simba Nguvu moja
  • Post new topic
  • Reply to topic

Current date/time is Fri May 24, 2019 10:53 pm