Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

Hatimae Liverpool inazidi kuwa na mvuto

Share
avatar
SHABAN WENGE
Guest

Hatimae Liverpool inazidi kuwa na mvuto

Post by SHABAN WENGE on Mon Apr 09, 2018 5:13 pmHatimae Liverpool inazidi kuwa na mvuto kuliko man u wachezaji wanaendelea kuitosa man u na kuja Liverpool
Habari kutoka ndani ya Liverpool ni kuwa mchezaji tegemeo wa Manchester united Fellain amekataa kuongeza mkataba mpya na Manchester united licha ya kubembelezwa Sana mourinho amechagua kujiunga na Liverpool
Karibu Sana magettoni Anfeld Mkubwa fellain japo sikukubali Ila kwasababu jicho la klop halikosei katika usajili ngoja tusubiri.
Kumbuka hata Mane na firmino waliwahi kutakiwa na Manchester united wakaitosa man u na kuja NYUMBA ya UEFA magettoni Anfeld
avatar
DOARRo
Guest

Re: Hatimae Liverpool inazidi kuwa na mvuto

Post by DOARRo on Mon Apr 09, 2018 5:14 pm

mvuto upi? unafikiri liverp[ool itambulia kikombe hata kimoja? Laughing Laughing Laughing Laughing Laughing Laughing
avatar
James Kub
Junior Member

Re: Hatimae Liverpool inazidi kuwa na mvuto

Post by James Kub on Mon Apr 09, 2018 5:23 pm

DOARRo wrote:mvuto upi? unafikiri liverp[ool itambulia kikombe hata kimoja? Laughing Laughing Laughing Laughing Laughing Laughing
Liva mbabe wa man city

Re: Hatimae Liverpool inazidi kuwa na mvuto

Post by MO SALAH on Tue Apr 10, 2018 11:10 am

DOARRo wrote:mvuto upi? unafikiri liverp[ool itambulia kikombe hata kimoja? Laughing Laughing Laughing Laughing Laughing Laughing

acha ushabiki liverpool utaifananisha na timu gani kwa sasa pale uingereza?
avatar
dembele
Junior Member

Re: Hatimae Liverpool inazidi kuwa na mvuto

Post by dembele on Tue Apr 10, 2018 11:47 am

@MO SALAH wrote:
DOARRo wrote:mvuto upi? unafikiri liverp[ool itambulia kikombe hata kimoja? Laughing Laughing Laughing Laughing Laughing Laughing

acha ushabiki liverpool utaifananisha na timu gani kwa sasa pale uingereza?

Itakua unaota wewe confused
avatar
Nani
Junior Member

Re: Hatimae Liverpool inazidi kuwa na mvuto

Post by Nani on Tue Apr 10, 2018 11:45 pm

Naomba liverpool apangiwe bayern tuone huo mvuto

Sponsored content

Re: Hatimae Liverpool inazidi kuwa na mvuto

Post by Sponsored content

    Current date/time is Mon Nov 19, 2018 8:59 pm