Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

  • Post new topic
  • Reply to topic

Watanzania tuwe na hofu ya Mungu; hawa kweli wana umri wa chini ya miaka 20?

Watanzania tuwe na hofu ya Mungu; hawa kweli wana umri wa chini ya miaka 20? Empty Watanzania tuwe na hofu ya Mungu; hawa kweli wana umri wa chini ya miaka 20?

Post by MO SALAH on Tue Apr 10, 2018 11:16 am

Kuna Muda wa TZ Tuwe Na Hofu ya Mungu Jaman Hawa kwel n under 20...????
au ndio kujuana kwenyewe fulani mtoto wa shangazi
Watanzania tuwe na hofu ya Mungu; hawa kweli wana umri wa chini ya miaka 20? Img-2012
Watanzania tuwe na hofu ya Mungu; hawa kweli wana umri wa chini ya miaka 20? Img-2010
Watanzania tuwe na hofu ya Mungu; hawa kweli wana umri wa chini ya miaka 20? Img-2011
Anonymous
Selemani
Guest

Watanzania tuwe na hofu ya Mungu; hawa kweli wana umri wa chini ya miaka 20? Empty Re: Watanzania tuwe na hofu ya Mungu; hawa kweli wana umri wa chini ya miaka 20?

Post by Selemani on Tue Apr 10, 2018 11:18 am

affraid affraid affraid affraid affraid affraid affraid affraid affraid
Anonymous
Selemani
Guest

Watanzania tuwe na hofu ya Mungu; hawa kweli wana umri wa chini ya miaka 20? Empty Re: Watanzania tuwe na hofu ya Mungu; hawa kweli wana umri wa chini ya miaka 20?

Post by Selemani on Tue Apr 10, 2018 11:19 am

hahahahaha hii ndio tz buana

Watanzania tuwe na hofu ya Mungu; hawa kweli wana umri wa chini ya miaka 20? Empty Re: Watanzania tuwe na hofu ya Mungu; hawa kweli wana umri wa chini ya miaka 20?

Post by Mavugo R on Tue Apr 10, 2018 11:29 am

Tanzania kuna kila aina ya ufisadi mimi kwa macho yangu nilishuhudia tukifanyiwa hujuma tulicheza kopa cocacola under 17 mwaka 2010 mkoani kagera, kitu kilichostaajabisha tulishangaa wanaletwa watu wakubwa kiumri na tunawajua kabisa ndio wakaenda ngazi ya kitaifa,
kusema ukweli TFF hujuma na rushwa zimejaaa TFF badilikeni mnaua soka la tanzania
Rahma
Rahma
New Member
New Member

Watanzania tuwe na hofu ya Mungu; hawa kweli wana umri wa chini ya miaka 20? Empty Re: Watanzania tuwe na hofu ya Mungu; hawa kweli wana umri wa chini ya miaka 20?

Post by Rahma on Tue Apr 10, 2018 12:13 pm

@Mavugo R wrote:Tanzania kuna kila aina ya ufisadi mimi kwa macho yangu nilishuhudia tukifanyiwa hujuma tulicheza kopa cocacola under 17 mwaka 2010 mkoani kagera, kitu kilichostaajabisha tulishangaa wanaletwa watu  wakubwa kiumri na tunawajua kabisa ndio wakaenda ngazi ya kitaifa,
kusema ukweli TFF hujuma na rushwa zimejaaa TFF badilikeni mnaua soka la tanzania

pole

Watanzania tuwe na hofu ya Mungu; hawa kweli wana umri wa chini ya miaka 20? Empty Re: Watanzania tuwe na hofu ya Mungu; hawa kweli wana umri wa chini ya miaka 20?

Post by Roy on Fri Apr 13, 2018 1:48 pm

Very Happy Very Happy Very Happy Very Happy Very Happy Very Happy Very Happy  watanzania kila mahala wanapiga dili
CR7
CR7
Junior Member

Watanzania tuwe na hofu ya Mungu; hawa kweli wana umri wa chini ya miaka 20? Empty Re: Watanzania tuwe na hofu ya Mungu; hawa kweli wana umri wa chini ya miaka 20?

Post by CR7 on Fri Apr 13, 2018 4:02 pm

bongo bahati mbaya karibu ulaya

Watanzania tuwe na hofu ya Mungu; hawa kweli wana umri wa chini ya miaka 20? Empty Re: Watanzania tuwe na hofu ya Mungu; hawa kweli wana umri wa chini ya miaka 20?

Post by Roy on Fri Apr 13, 2018 4:44 pm

@CR7 wrote:bongo bahati mbaya karibu ulaya
Exclamation Exclamation Exclamation Exclamation Exclamation Exclamation  Mbona ulaya wapo pia akina lukaku?
mikael
mikael
Junior Member

Watanzania tuwe na hofu ya Mungu; hawa kweli wana umri wa chini ya miaka 20? Empty Re: Watanzania tuwe na hofu ya Mungu; hawa kweli wana umri wa chini ya miaka 20?

Post by mikael on Fri Apr 13, 2018 6:53 pm

itakua wamekomaa mifupa lakini kiumri ni wadogo kwakweli

Watanzania tuwe na hofu ya Mungu; hawa kweli wana umri wa chini ya miaka 20? Empty Re: Watanzania tuwe na hofu ya Mungu; hawa kweli wana umri wa chini ya miaka 20?

Post by Roy on Fri Apr 13, 2018 7:54 pm

@mikael wrote:itakua wamekomaa mifupa lakini kiumri ni wadogo kwakweli
Laughing Laughing Laughing Laughing Laughing Laughing Laughing Laughing
Payet
Payet
Junior Member

Watanzania tuwe na hofu ya Mungu; hawa kweli wana umri wa chini ya miaka 20? Empty Re: Watanzania tuwe na hofu ya Mungu; hawa kweli wana umri wa chini ya miaka 20?

Post by Payet on Fri Apr 13, 2018 8:31 pm

Watanzania tuwe na hofu ya Mungu; hawa kweli wana umri wa chini ya miaka 20? Romelu-Lukaku-641966
Mtata
Mtata
New Member
New Member

Watanzania tuwe na hofu ya Mungu; hawa kweli wana umri wa chini ya miaka 20? Empty Re: Watanzania tuwe na hofu ya Mungu; hawa kweli wana umri wa chini ya miaka 20?

Post by Mtata on Fri Apr 13, 2018 8:47 pm

inawezekana
lallana
lallana
New Member
New Member

Watanzania tuwe na hofu ya Mungu; hawa kweli wana umri wa chini ya miaka 20? Empty Re: Watanzania tuwe na hofu ya Mungu; hawa kweli wana umri wa chini ya miaka 20?

Post by lallana on Tue Apr 17, 2018 1:59 pm

@Mavugo R wrote:Tanzania kuna kila aina ya ufisadi mimi kwa macho yangu nilishuhudia tukifanyiwa hujuma tulicheza kopa cocacola under 17 mwaka 2010 mkoani kagera, kitu kilichostaajabisha tulishangaa wanaletwa watu  wakubwa kiumri na tunawajua kabisa ndio wakaenda ngazi ya kitaifa,
kusema ukweli TFF hujuma na rushwa zimejaaa TFF badilikeni mnaua soka la tanzania
Smile Smile Smile Smile  Pole sana

Sponsored content

Watanzania tuwe na hofu ya Mungu; hawa kweli wana umri wa chini ya miaka 20? Empty Re: Watanzania tuwe na hofu ya Mungu; hawa kweli wana umri wa chini ya miaka 20?

Post by Sponsored content

  • Post new topic
  • Reply to topic

Current date/time is Fri May 24, 2019 11:30 pm