Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

Mashindano ya kuwabeba wake/wapenzi yafanyika Uingereza

dembele
dembele
Junior Member

Mashindano ya kuwabeba wake/wapenzi yafanyika Uingereza Empty Mashindano ya kuwabeba wake/wapenzi yafanyika Uingereza

Post by dembele on Tue Apr 10, 2018 11:59 am

Mashindano ya kuwabeba wake/wapenzi yafanyika Uingereza _1007610

Haya ni mashindano ya 11 ya mbio za kubebana nchini Uingereza.

Chris Hepworth, akiwa amembeba Tanisha Prince kutoka West Drayton, London, alikimbia na kuibuka mshindi wa mbio za umbali wa mita 380.

Waandaaji wa michuano hiyo wanasema zoezi hilo lilianza mwezi June mwaka 793 AD.

Michuano inahusisha umbali wa mita 380 zenye vikwazo kukiwa na miinuko na miteremkoMichuano inahusisha umbali wa mita 380 zenye vikwazo kukiwa na miinuko na miteremko
Washindani walikimbia umbali wa mita 15 kupandisha kwenye mwinuko na kushuka ambapo wameeleza kuwa ni kazi ngumu.

Washindani si lazima wawe na ndoa lakini angalau wawe marafiki.

Chris Hepworth, alimbeba Tanisha Prince, aliibuka mshindiChris Hepworth, alimbeba Tanisha Prince, aliibuka mshindi
Sheria inasema wenza wawe na zaidi ya miaka 18 na uzito wa kilo 50 na kuna adhabu ikiwa utamuangusha mwenza wako, ikiwa uzito ni chini ya kilo 50 aliyembeba analazimika kubeba furushi lenye vikopo ili kuongezea uzito.

Mshindi anasema kupanda mlima ilikuwa rahisi kuliko kuteremka.

Washindi wataenda kwenye michuano ya dunia mwezi Julai nchini Finland

Bwana Hepworth ana matumaini ya kushinda.

Watu takriban 50 walishirikiWatu takriban 50 walishiriki
Waandaaji walitoa tahadhari wakisema kuwa ”kumbeba mke kunaweza kuwa jambo la hatari, kunakoweza kusababisha majeraha kama ya uti wa mgongo, kuvunjika miguu na mikono, majeraha usoni, kwenye fuvu la kichwa na hata kifo.”

Ben and Hannah Brackenbury waliingia kwenye michuano hiyo wakiadhimisha mwaka mmoja wa ndoa yaoBen and Hannah Brackenbury waliingia kwenye michuano hiyo wakiadhimisha mwaka mmoja wa ndoa yao
Ben na Hanna Brackenbury waliingia kwenye mashindano hayo kuadhimisha mwaka wa kwanza wa kumbukumbu ya ndoa yao

Wenza hao wamesema walikuwa wakifanya mazoezi kwenye bustani na kwenye mvua wakijiandaa na michuano.
Mashindano ya kuwabeba wake/wapenzi yafanyika Uingereza Carryi10


Mitindo mbalimbali ya kubebana ilishuhudiwaMitindo mbalimbali ya kubebana ilishuhudiwa
Mshindi alipata pipa lenye bia anayeshika nafasi ya mwisho anapatiwa tambi na chakula cha Mbwa.

Washindi watakwenda kushiriki michuano ya dunia nchini FinlandWashindi watakwenda kushiriki michuano ya dunia nchini FinlandAina hii ya ubebaji imeelezwa iliwafanya wakimbie kwa kasiAina hii ya ubebaji imeelezwa iliwafanya wakimbie kwa kasiMichuano ya dunia itafanyika mwezi JulaiMichuano ya dunia itafanyika mwezi Julai
Chanzo: BBC

    Current date/time is Mon Jul 22, 2019 7:22 pm