Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

Kuelekea fainali ya UEFA mjini Kiev msimu wa 2017/2018 Liverpool wakichukua ubingwa sitashangaa wala kuona ajabu

dembele
dembele
Junior Member

Kuelekea fainali ya UEFA mjini Kiev msimu wa 2017/2018 Liverpool wakichukua ubingwa sitashangaa wala kuona ajabu Empty Kuelekea fainali ya UEFA mjini Kiev msimu wa 2017/2018 Liverpool wakichukua ubingwa sitashangaa wala kuona ajabu

Post by dembele on Tue Apr 10, 2018 12:01 pm

Kuelekea fainali ya UEFA Champions League tarehe 26 may 2018 nchini Ukraine, mjini Kyiv kumekuwa na kila mtu na mtazamo wake juu ya nani atacheza fainali na nani ataibuka kuwa bingwa .

kila mtu anasema timu yake mara Real Madrid ,wengine barcelona na wengine Bayern Munich.kila mtu anasema lake ,mechi ya jana tarehe 4 2018 kati ya Liverpool vs man city ,man city kafungwa 3-0, na mechi imeisha bila city kupiga shuti lililolenga goli.

Kuna watu Baada ya hiyo mechi kuisha bado wanaizarau Liverpool kwamba aifiki kokote na wamesahu Liverpool ndio timu bora kwa sasa katikati UEFA Champions League kwa kila kitu ndio maana Liverpool ikichukua ubingwa msimu wa 2017/2018 sitashangaa,ingawa wanaiponda kwamba aina world class players .

Mtu kama James Milner ndio mchezaji mwenye assist nyingi za magoli na amefikia record ya Rooney na na neymar ya kuwa na assists 8 ,mechi ijayo akitoa assist maana yake anaweka record ya kuwa na assist nyingi kwenye msimu mmoja ,kwa macho ya watu anaoneka wa kawaida lakini kwa takwimu za ndani ya uwanja UEFA Champions League ni zaidi ya debryne wa man city

Angalia hapo chini

Kuelekea fainali ya UEFA mjini Kiev msimu wa 2017/2018 Liverpool wakichukua ubingwa sitashangaa wala kuona ajabu Img_2405-jpg

    Current date/time is Mon Jul 22, 2019 7:19 pm