Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

Inakuwaje Uingeleza (EPL) hakuna hata referees mmoja walioteuliwa na FIFA kuchezesha kombe la dunia?

joker
joker
New Member
New Member

Inakuwaje Uingeleza (EPL) hakuna hata referees mmoja walioteuliwa na FIFA kuchezesha kombe la dunia? Empty Inakuwaje Uingeleza (EPL) hakuna hata referees mmoja walioteuliwa na FIFA kuchezesha kombe la dunia?

Post by joker on Tue Apr 10, 2018 12:37 pm

FIFA wametoa orodha ya waamuzi watakaochezesha kombe la dunia, cha ajabu ligi kubwa na pendwa kama Epl hakuna hata mmoja.

Hii ina maana gani? Ni kwamba FIFA wameona hamna anayefaa hata mmoja kwamba hawaaminiki au ni nini?
Nani
Nani
Junior Member

Inakuwaje Uingeleza (EPL) hakuna hata referees mmoja walioteuliwa na FIFA kuchezesha kombe la dunia? Empty Re: Inakuwaje Uingeleza (EPL) hakuna hata referees mmoja walioteuliwa na FIFA kuchezesha kombe la dunia?

Post by Nani on Tue Apr 10, 2018 11:27 pm

Namkumbuka Howard Web A.K.A Mbeleko ya Man utd Tangu astaafu man utd wanasuasua
Nani
Nani
Junior Member

Inakuwaje Uingeleza (EPL) hakuna hata referees mmoja walioteuliwa na FIFA kuchezesha kombe la dunia? Empty Re: Inakuwaje Uingeleza (EPL) hakuna hata referees mmoja walioteuliwa na FIFA kuchezesha kombe la dunia?

Post by Nani on Tue Apr 10, 2018 11:33 pm

Namkumbuka Howard Web A.K.A Mbeleko ya Man utd Tangu astaafu man  utd wanasuasua lol! lol!
ramsey
ramsey
Junior Member

Inakuwaje Uingeleza (EPL) hakuna hata referees mmoja walioteuliwa na FIFA kuchezesha kombe la dunia? Empty Re: Inakuwaje Uingeleza (EPL) hakuna hata referees mmoja walioteuliwa na FIFA kuchezesha kombe la dunia?

Post by ramsey on Wed Apr 11, 2018 1:34 am

ni maamuzi tu si kwamba wana matatizo

Inakuwaje Uingeleza (EPL) hakuna hata referees mmoja walioteuliwa na FIFA kuchezesha kombe la dunia? Empty Re: Inakuwaje Uingeleza (EPL) hakuna hata referees mmoja walioteuliwa na FIFA kuchezesha kombe la dunia?

Post by Dele Alli on Wed Apr 11, 2018 1:47 am

hawana bahati
Payet
Payet
Junior Member

Inakuwaje Uingeleza (EPL) hakuna hata referees mmoja walioteuliwa na FIFA kuchezesha kombe la dunia? Empty Re: Inakuwaje Uingeleza (EPL) hakuna hata referees mmoja walioteuliwa na FIFA kuchezesha kombe la dunia?

Post by Payet on Fri Apr 13, 2018 8:27 pm

haikua bahati yao tu
mikael
mikael
Junior Member

Inakuwaje Uingeleza (EPL) hakuna hata referees mmoja walioteuliwa na FIFA kuchezesha kombe la dunia? Empty Re: Inakuwaje Uingeleza (EPL) hakuna hata referees mmoja walioteuliwa na FIFA kuchezesha kombe la dunia?

Post by mikael on Fri Apr 13, 2018 11:00 pm

kwani wamechukuliwa marefa wa dunia nzima wakaachwa wa england tu?

Sponsored content

Inakuwaje Uingeleza (EPL) hakuna hata referees mmoja walioteuliwa na FIFA kuchezesha kombe la dunia? Empty Re: Inakuwaje Uingeleza (EPL) hakuna hata referees mmoja walioteuliwa na FIFA kuchezesha kombe la dunia?

Post by Sponsored content

    Current date/time is Mon Jul 22, 2019 7:17 pm