Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

Mchezo wa draft na sheria zake

Share
joker
joker
New Member
New Member

Mchezo wa draft na sheria zake

Post by joker on Tue Apr 10, 2018 12:41 pm


ndugu zangu wapenda mchezo wa draft kuna sheria inachanganya watu wengi sana katika mchezo huu. swali liko hivi.

je itakuaje endapo utafika king halafu mpinzani wako hana/hajala kete hata moja ya kukuvalisha hiyo king nawakati huo unataka kuitumia hiyo king?

Hii ni kwa wale waliobobea katika mchezo huu wa draft na hata kama sis mchezaji lakini sheria waweza kuzijua toad mchango wako, lengo nikueleweshana watu wazijue sheria ili kuondoa mabishano na mikanganyiko katika mchezo huu pendwa.
Pia waweza changia kwa kudondosha sheria zingine kwa lengo la kuelimishana zaidi.

Re: Mchezo wa draft na sheria zake

Post by shaaban robert on Tue Apr 10, 2018 12:59 pm

huwezi ukamla mtu kete zote wakati yeye hajala hata moja

Re: Mchezo wa draft na sheria zake

Post by shaaban robert on Tue Apr 10, 2018 12:59 pm

huwezi ukamla mtu kete zote wakati yeye hajala hata moja

Re: Mchezo wa draft na sheria zake

Post by Roy on Fri Apr 13, 2018 1:53 pm

umetudanganya hapo we utakulaje kete zote mwingine hajakula hata moja?
Payet
Payet
Junior Member

Re: Mchezo wa draft na sheria zake

Post by Payet on Fri Apr 13, 2018 8:30 pm

@Roy wrote:umetudanganya hapo we utakulaje kete zote mwingine hajakula hata moja?

kahawa Very Happy Very Happy Very Happy Very Happy Very Happy

Re: Mchezo wa draft na sheria zake

Post by kichuya kona on Sun Apr 15, 2018 6:05 pm

@shaaban robert wrote:huwezi ukamla mtu kete zote wakati yeye hajala hata moja
inawezekana

Sponsored content

Re: Mchezo wa draft na sheria zake

Post by Sponsored content


    Current date/time is Fri Feb 22, 2019 5:57 pm