Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

  • Post new topic
  • Reply to topic

Huyu ndio msanii bora kabisa kwa sasa wa bongofleva fundi wa kuimba live

Nahumu
Nahumu
New Member
New Member

Huyu ndio msanii bora kabisa kwa sasa wa bongofleva fundi wa kuimba live Empty Huyu ndio msanii bora kabisa kwa sasa wa bongofleva fundi wa kuimba live

Post by Nahumu on Tue Apr 10, 2018 1:06 pm

wanamwita mbosso khan au mhindi wa kibiti... anaitwa mhindi au khan sababu ya hisia zake za kweli anapoimba akawii kumwaga machozi.

ndio msanii bora kabisa kwenye bongofleva zama hizi anayeweza kuimba live na kucheza na vyombo. kwa sasa ukizungumzia live hakunaga kama mbosso.

akiimba kwa pamoja namsikia marijani rajabu namskia issa matona namskia ali star namskia abdul misambano namskia franco makiadi.
CR7
CR7
Junior Member

Huyu ndio msanii bora kabisa kwa sasa wa bongofleva fundi wa kuimba live Empty Re: Huyu ndio msanii bora kabisa kwa sasa wa bongofleva fundi wa kuimba live

Post by CR7 on Sun Apr 15, 2018 5:51 pm

tupe vithibitisho

Huyu ndio msanii bora kabisa kwa sasa wa bongofleva fundi wa kuimba live Empty Re: Huyu ndio msanii bora kabisa kwa sasa wa bongofleva fundi wa kuimba live

Post by kiboko yao on Sun Apr 15, 2018 6:18 pm

hiyo ni kwa mtazamo wako

Sponsored content

Huyu ndio msanii bora kabisa kwa sasa wa bongofleva fundi wa kuimba live Empty Re: Huyu ndio msanii bora kabisa kwa sasa wa bongofleva fundi wa kuimba live

Post by Sponsored content

  • Post new topic
  • Reply to topic

Current date/time is Fri May 24, 2019 10:29 pm