Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

  • Post new topic
  • Reply to topic

Manara aendelea kusisitiza Viwanja vya mikoani vina changamoto kubwa.

Hamiliton
Hamiliton
Junior Member

Manara aendelea kusisitiza Viwanja vya mikoani vina changamoto kubwa. Empty Manara aendelea kusisitiza Viwanja vya mikoani vina changamoto kubwa.

Post by Hamiliton on Tue Apr 10, 2018 5:56 pm

Afisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara, ameendelea kusisitiza kuwa viwanja vingi vya mikoani vina changamoto kubwa.

Manara ameeleza kuwa viwanja hivyo vimekuwa na mapungufu mengi ambayo yamekuwa yakishindwa kuhimili vizuri mikiki-mikiki ya wachezaji na mpira pindi unapotandazwa Uwanjani.

Akizungumza mapema baada ya mchezo wa jana kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya Simba, Manara alieleza kuwa asilimia kubwa ya viwanja mikoani si vizuri hivyo ni moja ya changamoto wanayopitia kama klabu na kwa wachezaji.

Mbali na Manara, baadhi ya wadau wa soka wamekuwa wakiongelea pia namna viwanja vingi vilivvyo nje ya Dar es Salaam kutoridhisha haswa katika sehemu ya kuchezea huku hakuna ukarabati mzuri ambao umekuwa ukifanyika ili viwanja hivyo viwe na hadhi nzuri kutumika.
  • Post new topic
  • Reply to topic

Current date/time is Fri May 24, 2019 10:29 pm