Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

  • Post new topic
  • Reply to topic

Pole sana Aishi Manula kwa kufiwa na dada yako

Nani
Nani
Junior Member

Pole sana Aishi Manula kwa kufiwa na dada yako Empty Pole sana Aishi Manula kwa kufiwa na dada yako

Post by Nani on Tue Apr 10, 2018 11:37 pm

Kipa Aishi Manula amepata msiba mwingine wa kufiwa na dada yake.

Taarifa kutoka klabu Simba zimeeleza kuwa Manula amefiwa na dada yake ikiwa ni siku chache kutokana na kufiwa na kaka yake.

Hakukuwa na maaelezo ya kutosha ni dada wa tumbo moja au la lakini Kocha wa Simba, Pierre Lechantre amethibitisha.

Manula amekosa mazoezi ya leo ya Simba ikiwa ni siku moja baada ya kuidakia Simba ikiitwanga Mtibwa Sugar kwa bao 1-0 na kuzidi kujichimbia kileleni.


Pole sana mwanamichezo mwenzetu! Crying or Very sad
ramsey
ramsey
Junior Member

Pole sana Aishi Manula kwa kufiwa na dada yako Empty Re: Pole sana Aishi Manula kwa kufiwa na dada yako

Post by ramsey on Wed Apr 11, 2018 1:32 am

Mungu amtie nnguvu
  • Post new topic
  • Reply to topic

Current date/time is Fri May 24, 2019 10:30 pm