Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

  • Post new topic
  • Reply to topic

Baada ya Rashford kuwa kisu kikali Ronaldo aamua kumzawadia boot kali

Nani
Nani
Junior Member

Baada ya Rashford kuwa kisu kikali Ronaldo aamua kumzawadia boot kali Empty Baada ya Rashford kuwa kisu kikali Ronaldo aamua kumzawadia boot kali

Post by Nani on Tue Apr 10, 2018 11:41 pm

Baada ya Rashford kuwa kisu kikali Ronaldo aamua kumzawadia boot kali 4AFEF30800000578-5596479-image-a-6_1523310759243
MSHAMBULIAJI wa Manchester United, Marcus Rashford ameonyesha zawadi ya kiatu chekundu cha Nike Air Max 97 CR7 alichopewa na nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo.

Nyota wa zamani wa United, Ronaldo inawezekana hakuwa karibu na Rashford wakati wake anacheza Old Trafford kwani wakati huo Marcus alikuwa ana umri wa miaka 11 wakati Ronaldo alipokuwa anahamia Madrid – lakini wawili hao kwa sasa ni rafiki.

Kwa ushirikiano na Nike, Mwanasoka huyo bora wa dunia, Ronaldo ametoa kiatu hicho kikali kinachouzwa kwa Pauni 145, ambacho kinaweza kuwavutia mashabiki wengi wa Man United kununua.
ramsey
ramsey
Junior Member

Baada ya Rashford kuwa kisu kikali Ronaldo aamua kumzawadia boot kali Empty Re: Baada ya Rashford kuwa kisu kikali Ronaldo aamua kumzawadia boot kali

Post by ramsey on Wed Apr 11, 2018 1:34 am

manure mnajifariji sana rashford bado sana
  • Post new topic
  • Reply to topic

Current date/time is Fri May 24, 2019 11:28 pm