Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

wambura akataliwa rufaa yake

Share

wambura akataliwa rufaa yake

Post by Roy on Fri Apr 06, 2018 1:28 pmKamati ya rufaa ya maadili ya TFF imetupilia mbali rufaa ya Michael Wambura aliyekuwa makamu wa Rais wa TFF ambaye alifungiwa maisha kujihusisha na shughuli za soka.

Baada ya kupitia hoja zake za rufaa, kamati ya rufaa ya maadili imejiridhisha na maamuzi ya awali yaliyotolewa na kamati ya maadili kumfungia maisha Michael Wambura.

Kamati ya rufaa yamaadili imeiagiza TFF kulifikisha suala la Wambura kwenye vyombo vya sheria.

maoni yenu wadau juu ya huyu fisadi


Last edited by Roy on Mon Apr 16, 2018 3:26 pm; edited 1 time in total
ramsey
ramsey
Junior Member

Re: wambura akataliwa rufaa yake

Post by ramsey on Mon Apr 09, 2018 10:21 am

TFF imetawaliwa na figisu figisu

    Current date/time is Fri Feb 22, 2019 6:00 pm