Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

Anthony Martial amegoma kusaini mkataba mpya ma utd inazidi kupukutika

Share
Chuga
Chuga
New Member
New Member

Anthony Martial amegoma kusaini mkataba mpya ma utd inazidi kupukutika

Post by Chuga on Wed Apr 11, 2018 4:39 am

Mshambuliaji wa Man United ya England Anthony Martial anayewindwa na vilabu vya FC Bayern Munich ya Ujerumani na Juventus ya Italia leo ameripotiwa kugoma kuongeza mkataba na Man United.

Anthony Martial ameripotiwa kugoma kusaini mkataba mpya wa miaka mitano wa kuendelea kuitumikia Man United kwa madai ya kukosa nafasi ya kucheza, hivyo ameshinikiza auzwe ili akapate nafasi ya kucheza.
Maamuzi hayo ya Martial yamezidisha kasi na matumaini kwa vilabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani, Inter Milan na Juventus za Italia ambazo zina lengo la dhati la kuhitaji huduma ya nyota huyo anayekosa namba Man United.

Kun
Kun"
Junior Member

Re: Anthony Martial amegoma kusaini mkataba mpya ma utd inazidi kupukutika

Post by Kun" on Wed Apr 11, 2018 10:20 am

nafikiri ni baada ya kuona timu haina uelekeo, timu inashangilia kuifunga man city badala ya kushangilia ubingwa?
Cena
Cena
New Member
New Member

Re: Anthony Martial amegoma kusaini mkataba mpya ma utd inazidi kupukutika

Post by Cena on Fri Apr 20, 2018 1:48 am

kwaiyo kuondokakwamartial ndio man utd ipukutike?

Sponsored content

Re: Anthony Martial amegoma kusaini mkataba mpya ma utd inazidi kupukutika

Post by Sponsored content


    Current date/time is Fri Feb 22, 2019 5:36 pm