Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

UEFA CHAMPION LEAGUE SEMI FINAL 1. AS ROMA VS LIVERPOOL 24 APRIL 2018. 2. REAL MADRID VS BAYERN MUNICH 25 APRIL 2018.* EUROPA LEAGUE SEMI - FINAL DRAW 1. MARSEIILE VS RED BULL 26 APRIL 2018 2. ATLETICO MADRID VS ARSENAL 26 APRIL 2018

Naiona Real Madrid ikibeba Uefa Champions League 2018

Share
avatar
mikael
Junior Member

Naiona Real Madrid ikibeba Uefa Champions League 2018

Post by mikael on Wed Apr 11, 2018 9:45 am

Baada ya Barca kupewa kipigo heavy cha 3-0 sasa anondoka rasmi mashindanoni kwa Roma kuwa na faida ya goli 1 walilopata mechi ya kwanza.

Barcelona ni team hatari sana kwa Magiant wenzao wa Spain Real madrid na nina uhakika jiji la madrid kwa sasa ni furaha mno na hii itwapa morale Real madrid kufukuzia Zaidi huu ubingwa.

Kwa team zilizobaki mashindanoni Liverpool, Roma na uwezekano wa Bayern na kwa aina ya mpira wa Real madrid nathubutu kusema hawa jamaa nawaona wakibeba ubingwa tena.

    Current date/time is Sat Jul 21, 2018 2:53 am