Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

  • Post new topic
  • Reply to topic

Old trafford sasa kubeba watu 90,000

Jogoo
Jogoo
New Member
New Member

Old trafford sasa kubeba watu 90,000 Empty Old trafford sasa kubeba watu 90,000

Post by Jogoo on Thu Apr 12, 2018 4:15 pm

Mkurugenzi Mkuu wa Manchester United, Richard Arnold, amesema klabu hiyo inaweza kukosa kuutumia uwanja wao huo.

Mkurugenzi huyo akiongea na South China Morning Post, amesema wataweza kuukosa uwanja huo kwa muda kutokana na kuufanyia upanuzi ambao utkuwa na uwezo wa kuchukua watu 90,000.

Bosi huyo ameongeza pia jengo ambalo lenye nafasi ya kufanyiwa upanuzi huo ni jukwaa la Sir Bobby Charlton.

Hata hivyo Richard hajaweka wazi ni muda gani ambao ujenzi huo utaanza. Kwa sasa uwanja huo unauwezo wa kuchukua watazamaji 76,000.
Payet
Payet
Junior Member

Old trafford sasa kubeba watu 90,000 Empty Re: Old trafford sasa kubeba watu 90,000

Post by Payet on Fri Apr 13, 2018 8:30 pm

hongera zao
Payet
Payet
Junior Member

Old trafford sasa kubeba watu 90,000 Empty Re: Old trafford sasa kubeba watu 90,000

Post by Payet on Fri Apr 13, 2018 8:30 pm

hongera zao
lallana
lallana
New Member
New Member

Old trafford sasa kubeba watu 90,000 Empty Re: Old trafford sasa kubeba watu 90,000

Post by lallana on Fri Apr 13, 2018 8:35 pm

sawa
babu
babu
New Member
New Member

Old trafford sasa kubeba watu 90,000 Empty Re: Old trafford sasa kubeba watu 90,000

Post by babu on Fri Apr 13, 2018 8:44 pm

sawa

Sponsored content

Old trafford sasa kubeba watu 90,000 Empty Re: Old trafford sasa kubeba watu 90,000

Post by Sponsored content

  • Post new topic
  • Reply to topic

Similar topics

-

Current date/time is Fri May 24, 2019 11:25 pm