Muigizaji maarufu kutokea kwenye tasnia ya Bongo Movie Jacquline Wolperamefunguka kuhusiana na kutaka kufungua kiwanda cha nguo kwa miaka ijayo kutokana na shughuli na kazi zake anazozifanya.
Kwenye EXCLUSIVE interview na Ayo Tv Jacquline Wolper amezungumzia hilo kama moja ya ndoto zake.
source millard ayo