Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

utani alioufanya Shetta kwa Mstaafu Kamanda Kova

Share
Nahumu
Nahumu
New Member
New Member

utani alioufanya Shetta kwa Mstaafu Kamanda Kova

Post by Nahumu on Thu Apr 12, 2018 7:55 pm

[size=16]Siku ya April 9,2018 Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda aliwataka wanawake wote waliotelekezwa na wanaume zao pamoja na watoto wao wafike ofisini kwake ili wapate msaada wa kupata haki za kisheria.
Staa wa muziki wa Bongo Fleva Shetta ameonekana kutoa malalamiko yake ya kutelekezwa na Kamanda Kova baada ya picha yake na Kamanda Kova kusambaa katika mitandao ya kijamii na wengi kusema kuwa wamefanana na kuwa Kamanda Kovahuenda akawa ndio baba mzazi wa Shetta.
>>>Mh. Mkuu wangu wa Mkoa RC @paulmakonda[i] nipo hapa ofisini kwako Lol #KutelekezwaVipii!?

    Current date/time is Fri Feb 22, 2019 5:37 pm