Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

Mambo 10 aliyoyaona Coutinho baada ya robo fainali Uefa Champions League

Mambo 10 aliyoyaona Coutinho baada ya robo fainali Uefa Champions League Empty Mambo 10 aliyoyaona Coutinho baada ya robo fainali Uefa Champions League

Post by Rooney 10 on Fri Apr 13, 2018 10:40 am

Mambo 10 aliyoyaona Coutinho baada ya robo fainali Uefa Champions League Champions-league-semifinales-640x367Mambo 10 aliyoyaona Coutinho baada ya robo fainali Uefa Champions League Champions-league-semifinales-640x367

Dunia imeshuhudia timu nne zikifuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya vilabu bingwa Ulaya ‘Uefa Champions League’ baada ya mechi za robo fainali kuchezwa Jumanne na Jumatano.
Timu ambazo zimefanikiwa kufuzu hatua ya nusu fainali ni AS Roma, Liverpool, Real Madrid na Bayern Munich.
Draw ya mechi za nusu fainali itapangwa leo Ijumaa April 13, 2018, yafuatayo ni mambo 10 aliyoyaona mchambuzi Nicasius Agwanda ‘Coutinho’ baada ya michezo ya robo fainali ya ligi ya mabingwa barani Ulaya.
[list="box-sizing: border-box; list-style-position: inside; padding-right: 0px; padding-left: 0px; margin-bottom: 24px; color: rgb(68, 68, 68); font-family: Verdana, Geneva, sans-serif; font-size: 14px; background-color: rgb(255, 255, 255);"]
[*]Juventus ndiyo klabu iliyokuwa imekamilika zaidi kimbinu kuliko vilabu vyote msimu huu, hakuna klabu iliyocheza vyema viwanja vya ugenini bila presha kama wao, wanafuata Tottenham na kisha Madrid.

[*]Jurgen Klopp analeta mabadiliko ya Daudi na Goliati, sahau Goliati Ronaldo kuna akaina Dauti watatu wapo Liverpool, Fermino, Mane na Salah. Fermino amefunga mabao nane na assists nne, Salah ana mabao nane na assists mbili na Mane ana mabao saba na assist moja cha ajabu hakuna anaewawaza hata kidogo.

[*]Kuna Real Madrid, Bayarn Munich na Liverpool kwenye nusu fainali lakini iogope sana AS Roma. Ni sawa na masikini aliyeoneshwa shimo la dhahabu, roho na nguvu yake vitafia pale wazungu wangeweza kusema Roma is the trick draw.

[*]Dunia haijawaji kuona mfungaji bora kama Cristiano Ronaldo narudia, mfungaji bora kama kama Ronaldo.

[*]Barcelona na Neymar kila mmoja anam-miss mwanzake, tatizo ni kuwa naeymar ni kiziwanda hakupenda familia inavyomekeza Messi ambaye ni wa kwanza kuzaliwa.

[*]Uefa ina nguvu kuliko ligi zote, Man City haiwezi kutazamwa kama timu bora tena hata ikitwaa ubingwa, Barcelona pia. Ronaldo akifika fainali na akiendelea kufunga atakuwa na nafasi ya ballon Dor kuliko Messi na ubingwa wa La liga.

[*]Bayern Munich anaishi maisha ya chui, wanavuma Simba kwa ngurumo zao lakini ana makali zaidi na anaweza kujeruhi vibaya zaidi, waswahili walisema Papa ndiye avumaye baharini.

[*]Omba Mungu Bayern akutane na Liverpool fainali, unahitaji sana kuona vita kati ya Jupp Heynckes na Jurgen Klopp. Klopp bado ana damu ya Dortmund na bao la Robben dakika ya 89 lilikuwa chungu.

[*]Ronaldo anafunga lakini Sergio Ramos na ukichaa wake ndiye mchezaji muhimu zaidi Madrid, Bale atafute timu nyingine ya kuchezea msimu ujao.

[/list]
10. Wachezaji wa liverpool mpaka sasa ni Klopp na mashabiki
SHAFFIHDAUDA
Anonymous
sua
Guest

Mambo 10 aliyoyaona Coutinho baada ya robo fainali Uefa Champions League Empty Re: Mambo 10 aliyoyaona Coutinho baada ya robo fainali Uefa Champions League

Post by sua on Fri Apr 13, 2018 11:30 am

sawa

    Current date/time is Mon Jul 22, 2019 7:27 pm