Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

  • Post new topic
  • Reply to topic

NI Kwanini Billnass Haombi Radhi?

James Kub
James Kub
Junior Member

NI Kwanini Billnass Haombi Radhi? Empty Nandy aomba radhi mpaka kwa kanisa

Post by James Kub on Thu Apr 12, 2018 5:51 pm

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Nandy ambaye hi leo amekutwa na balaa la kuvuja kwa video yake ya utupu, ameomba radhi kwa watu mbali mbali ikiwemo kanisa lake juu ya video hiyo, inayomuonyesha akiwa faragha na msanii mwenzake Bill Nas.

Nandy akiongea kuelezea video hiyo

NI Kwanini Billnass Haombi Radhi? Nady
Akizungumza hilo Nandy amesema video hiyo ni ya mwaka 2016, na haelewi kwa nini mtu aliyeivujisha kaamua kufanya hivyo, lakini ni kitendo kilichomuumiza sana hivyo anaomba msamaha kwa jamii, mashabiki, kanisa na kila mtu ambaye imemgusa kwa namna moja au nyingine wamsamehe, kwani tayari anajutia jambo hilo.

“Nimesikitika sana, hiyo video ni ya ukweli ni ya mwaka 2016, nilikuwa na mahusiano na Bill Nas na tulikubaliana iwe siri, sasa sielewi kwa sababu gani kaamua kuvujisha, nimesikitishwa sana, ni video ambayo ilishutiwa kwa snapchat, sasa sielewi wakati ameipata hiyo video alikuwa nayo au alichukua mwenyewe, sijui niseme nini, naomba radhi sana kwa familia yangu, kanisani kwangu, serikali yangu, mashabiki, naomba radhi sana, adhabu ya maumivu ambayo nayapata imetokana na kumuamini mtu, ilikuwa ni private”, amesema Nandy.

Wawili hawa mara kwa mara walikuwa na skendo ya kuwa na mahusiano lakini wamekuwa wakikanusha, na watu kuanza kuibua hisia upya baada ya Nandy kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa Bill Nas kwa kupost picha inayomuonyesha akiwa kifuani kwake.
Deo
Deo
New Member
New Member

NI Kwanini Billnass Haombi Radhi? Empty NI Kwanini Billnass Haombi Radhi?

Post by Deo on Fri Apr 13, 2018 12:21 pm

wadau wa soka sport baada ya video kuvuja nandy ameonekana kusikitika sana na ameomba radhi mara mia mia lakini billnass kimya je amefurahia kitendo hicho?

au yeye ndio alivujisha video hiyo?

NI Kwanini Billnass Haombi Radhi? 30697863_2188908261124580_8740932709980831744_o
dUMA
dUMA
Junior Member

NI Kwanini Billnass Haombi Radhi? Empty Re: NI Kwanini Billnass Haombi Radhi?

Post by dUMA on Fri Apr 13, 2018 12:32 pm

wewe uliona wapi mwanaume nafumaniwa?
CR7
CR7
Junior Member

NI Kwanini Billnass Haombi Radhi? Empty Re: NI Kwanini Billnass Haombi Radhi?

Post by CR7 on Fri Apr 13, 2018 4:11 pm

hata mimi nisingeomba radhi kutoka na mtoto kama nandy sio jambo dogo

NI Kwanini Billnass Haombi Radhi? Empty Re: NI Kwanini Billnass Haombi Radhi?

Post by Roy on Fri Apr 13, 2018 4:32 pm

Nandy anajifanya kuomba radhi wakati kwenye video anaonekana kabisa yeye ndo anajirekodi? hatari sana hii
mikael
mikael
Junior Member

NI Kwanini Billnass Haombi Radhi? Empty Re: NI Kwanini Billnass Haombi Radhi?

Post by mikael on Sat Apr 14, 2018 4:36 pm

aliyerekodi video ni nandy,
so nandy ndo anabidi aombe radhi tena amuombe radhi billnass kwa kumzalilisha
depay
depay
New Member
New Member

NI Kwanini Billnass Haombi Radhi? Empty Re: NI Kwanini Billnass Haombi Radhi?

Post by depay on Sun Apr 15, 2018 5:03 pm

NAMHURUMIA SANA MDOGO WANGU NANDY SIJUI ANA HALI GANI SASA
Rashford
Rashford
Junior Member

NI Kwanini Billnass Haombi Radhi? Empty Re: NI Kwanini Billnass Haombi Radhi?

Post by Rashford on Sun Apr 15, 2018 5:42 pm

@dUMA wrote:wewe uliona wapi mwanaume nafumaniwa?
bom bom bom bom

NI Kwanini Billnass Haombi Radhi? Empty Re: NI Kwanini Billnass Haombi Radhi?

Post by celine dion on Sun Apr 15, 2018 6:03 pm

mwenye makosa ni nandy thus why anajitahidi kuomba radhi

NI Kwanini Billnass Haombi Radhi? Empty Re: NI Kwanini Billnass Haombi Radhi?

Post by kichuya kona on Sun Apr 15, 2018 6:11 pm

pole nandy mimi ninaamini ni bahati mbaya kama bahati mbaya zingine lakini hii iwe funzo hata kwa wengine
human
human
New Member
New Member

NI Kwanini Billnass Haombi Radhi? Empty Re: NI Kwanini Billnass Haombi Radhi?

Post by human on Sun Apr 15, 2018 9:36 pm

aombe radhi kwa kosa lipi? kwanza mimi namshukuru sana aliyevujisha video hiyo,
ili iwe fundisho kwa wale wanaopenda kurekod mambo yao ya private,

ww umelala na mpenz wako unarecord video ili iweje kwa mfano?
ramsey
ramsey
Junior Member

NI Kwanini Billnass Haombi Radhi? Empty Re: NI Kwanini Billnass Haombi Radhi?

Post by ramsey on Mon Apr 16, 2018 11:43 am

@Roy wrote:Nandy anajifanya kuomba radhi wakati kwenye video anaonekana kabisa yeye ndo anajirekodi? hatari sana hii
kwaiyo ulitaka asiombe radhi?

NI Kwanini Billnass Haombi Radhi? Empty Re: NI Kwanini Billnass Haombi Radhi?

Post by P. Dybala on Thu Apr 19, 2018 12:35 pm

@celine dion wrote:mwenye makosa ni nandy thus why anajitahidi kuomba radhi
kipindi anarekodi clip Billnass hakufahamu?

Sponsored content

NI Kwanini Billnass Haombi Radhi? Empty Re: NI Kwanini Billnass Haombi Radhi?

Post by Sponsored content

  • Post new topic
  • Reply to topic

Current date/time is Fri May 24, 2019 10:29 pm