Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

  • Post new topic
  • Reply to topic

MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya?

MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya? Empty MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya?

Post by Mkweli daima on Sun Apr 15, 2018 4:36 pm

nimekutana na hili swali mahala
"Napenda kuchukua nafasi hii kumuuliza mwekezaji wa Simba ndugu Mohamedi Dewji, aliposhinda nafasi kama mwekezaji wa Simba aliahidi ndani ya mwaka mmoja Simba itakuwa na kiwanja chake na miundombinu yote muhimu.Lakini ni mwezi wa nne sasa tunaelekea wa tano naona kimya!Sijasikia cha usanifu wala vipimo,sasa ni kwamba sisi wana Simba tumekuwa wajinga wa kuda nganywa hovyo ama vipi?Naomba anaejua kama kuna lolote linaloendelea atujuze"
Zombie
Zombie
Junior Member

MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya? Empty Re: MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya?

Post by Zombie on Sun Apr 15, 2018 5:25 pm

muda bado haujafika na kwanza Mo bado hajakabidhiwa timu rasmi
Rashford
Rashford
Junior Member

MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya? Empty Re: MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya?

Post by Rashford on Sun Apr 15, 2018 5:36 pm

mchakato wa kukabidhiwa timu ushaingiliwa na siasa ...mo anatka asilimia 51 serikali wanatka apewe 49% eti wanaogopa asije akaitumia simba kupata influence ya kisiasa km alivyofanya katumbi na tp mazembe
CR7
CR7
Junior Member

MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya? Empty Re: MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya?

Post by CR7 on Sun Apr 15, 2018 5:45 pm

Ni kwamba Mohammed Dewji kama mambo yakienda vizuri na Wana Simba wengi wanajua mwezi ujao May anakabidhiwa Timu rasmi kwa makubaliano ' maalum ' ya Kimkakati na ya Kiserikali. Na kulithibitisha hilo hata Simba SC ya sasa na mafanikio yake Mo ana 95% zake na anaifanyia Timu makubwa mengi mno ambayo tulio karibu na Timu tunajua. Pia nimegundua kuwa Wewe ni mwana Yanga SC na siyo Simba SC mwenzetu.

MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya? Empty Re: MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya?

Post by Roy on Sun Apr 15, 2018 5:53 pm

muhindi amewaingiza king

MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya? Empty Re: MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya?

Post by Roy on Sun Apr 15, 2018 5:57 pm

@Zombie wrote:muda bado haujafika na kwanza Mo bado hajakabidhiwa timu rasmi
atakabidhiwa lini?

MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya? Empty Re: MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya?

Post by celine dion on Sun Apr 15, 2018 6:01 pm

unashindwa kuongelea kuondoka kwa lwandamina unaongelea ya MO

MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya? Empty Re: MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya?

Post by kichuya kona on Sun Apr 15, 2018 6:06 pm

kama hujui kitu kaa kimya

MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya? Empty Re: MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya?

Post by kiboko yao on Sun Apr 15, 2018 6:16 pm

hivi ni kwanini yanga mnamuogopa sana MO?

MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya? Empty Re: MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya?

Post by Mkweli daima on Sun Apr 15, 2018 6:21 pm

@kichuya kona wrote:kama hujui kitu kaa kimya
wewe unayejua kitu twambie

MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya? Empty Re: MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya?

Post by Mkweli daima on Sun Apr 15, 2018 6:22 pm

@kiboko yao wrote:hivi ni kwanini yanga mnamuogopa sana MO?
mimi sio yanga ni simba damu tena kuliko hata wewe

MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya? Empty Re: MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya?

Post by Rooney 10 on Sun Apr 15, 2018 6:23 pm

washabiki wa simba badala ya kujibu swali alilouliza nyie mnamponda

MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya? Empty Re: MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya?

Post by MO SALAH on Sun Apr 15, 2018 6:26 pm

@Roy wrote:muhindi amewaingiza king
Very Happy Very Happy Very Happy Very Happy Very Happy cheers
human
human
New Member
New Member

MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya? Empty Re: MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya?

Post by human on Sun Apr 15, 2018 8:28 pm

walitamba sana

Last edited by human on Sun Apr 15, 2018 8:32 pm; edited 1 time in total
human
human
New Member
New Member

MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya? Empty Re: MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya?

Post by human on Sun Apr 15, 2018 8:29 pm

kwani wewe ukisikiaga neno utapeli unaelewa nini?
babu
babu
New Member
New Member

MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya? Empty Re: MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya?

Post by babu on Mon Apr 16, 2018 1:47 pm

sizani kama MO atafanya jipya kubwa zaidi, serikali imeshaanza kumuwekea vikwazo na haya mambo ndio hudumaza soka letu
Leo
Leo
New Member
New Member

MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya? Empty Re: MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya?

Post by Leo on Tue Apr 17, 2018 12:12 pm

sima inaendeshwa kwa maneno kwanzia msemaji mpaka mashabiki so sitaona ajabu MO kuingia mitini

MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya? Empty Re: MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya?

Post by Roy on Tue Apr 17, 2018 12:31 pm

@human wrote:kwani wewe ukisikiaga neno utapeli unaelewa nini?
kwaiyo amewatapeli?
lallana
lallana
New Member
New Member

MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya? Empty Re: MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya?

Post by lallana on Tue Apr 17, 2018 1:55 pm

zilikua ni kampeni
Cena
Cena
New Member
New Member

MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya? Empty Re: MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya?

Post by Cena on Fri Apr 20, 2018 1:50 am

@human wrote:kwani wewe ukisikiaga neno utapeli unaelewa nini?

Very Happy Very Happy Very Happy Very Happy Very Happy Very Happy Very Happy

Sponsored content

MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya? Empty Re: MO Mbona ahadi ulizotoa Simba kimya?

Post by Sponsored content

  • Post new topic
  • Reply to topic

Current date/time is Fri May 24, 2019 10:28 pm