Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

BARCELONA WANG'OLEWA LIGI YA MABINGWA, MESSI ATIA HURUMA ROMA

Chuga
Chuga
New Member
New Member

BARCELONA WANG'OLEWA LIGI YA MABINGWA, MESSI ATIA HURUMA ROMA Empty BARCELONA WANG'OLEWA LIGI YA MABINGWA, MESSI ATIA HURUMA ROMA

Post by Chuga on Wed Apr 11, 2018 5:05 am

Lionel Messi akitembea kinyonge baada ya Barcelona kufungwa 3-0 na wenyeji, Roma katika mchezo wa marudiano wa Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumanne na kutolewa kwa mabao ya ugenini baada ya sare ya jumla ya 4-4 kufuatia awali kushinda 4-1 kwenye mchezo wa kwanza Uwanja wa Olimpico mjini Roma. Mabao ya Roma leo yamefungwa na Edin Dzeko dakika ya sita, Daniele De Rossi dakika ya 58 na Konstantinos Manolas dakika ya 82
PICHA ZAIDI GONGA HAPA
mikael
mikael
Junior Member

BARCELONA WANG'OLEWA LIGI YA MABINGWA, MESSI ATIA HURUMA ROMA Empty Re: BARCELONA WANG'OLEWA LIGI YA MABINGWA, MESSI ATIA HURUMA ROMA

Post by mikael on Wed Apr 11, 2018 9:46 am

acha waende

    Current date/time is Mon Jul 22, 2019 7:16 pm