Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.

Join the forum, it's quick and easy

Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.

Soka Sports

Would you like to react to this message? Create an account in a few clicks or log in to continue.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

4 posters

    RUBY AELEZA ANACHOKIPENDA KUTOKA KWA JUX

    celine dion
    celine dion
    Junior Member

    RUBY AELEZA ANACHOKIPENDA KUTOKA KWA JUX Empty RUBY AELEZA ANACHOKIPENDA KUTOKA KWA JUX

    Post by celine dion Thu Apr 19, 2018 11:55 am

    RUBY AELEZA ANACHOKIPENDA KUTOKA KWA JUX Bongo5-Pix-Jux-Ruby
    Msanii wa muziki Bongo, Ruby amefunguka kuhusu kuvutiwa na Jux kwa upande wa uimbaji wake.
    Muimbaji huyo amekuwa akivutiwa zaidi na wimbo wa Jux unaokwenda kwa jina la Utaniua.
    “Kwa sababu nyimbo za Jux karibia zote zinawashika kwanza wanawake, halafu pia uimbaji wake ni RnB ambayo anaweza kuimba mwanaume au mwanamke, kwa hiyo nafikiri ule uliniingia zaidi,” amesema Ruby.
    Ruby kwa sasa anafanya vizuri kwa sasa na ngoma ‘One and Only’ aliyoshirikishwa na Nedy Music.
    P. Dybala
    P. Dybala
    New Member
    New Member

    RUBY AELEZA ANACHOKIPENDA KUTOKA KWA JUX Empty Re: RUBY AELEZA ANACHOKIPENDA KUTOKA KWA JUX

    Post by P. Dybala Thu Apr 19, 2018 12:36 pm

    Ruby ashamtamani Jux
    Kun
    Kun"
    Junior Member

    RUBY AELEZA ANACHOKIPENDA KUTOKA KWA JUX Empty Re: RUBY AELEZA ANACHOKIPENDA KUTOKA KWA JUX

    Post by Kun" Thu Apr 19, 2018 1:00 pm

    P. Dybala wrote:Ruby ashamtamani Jux
    kwa bongo si ajabu utashangaa mda kidogo tu washakua na mahusiano
    Hamiliton
    Hamiliton
    Junior Member

    RUBY AELEZA ANACHOKIPENDA KUTOKA KWA JUX Empty Re: RUBY AELEZA ANACHOKIPENDA KUTOKA KWA JUX

    Post by Hamiliton Thu Apr 19, 2018 1:43 pm

    Basi poa

    Sponsored content

    RUBY AELEZA ANACHOKIPENDA KUTOKA KWA JUX Empty Re: RUBY AELEZA ANACHOKIPENDA KUTOKA KWA JUX

    Post by Sponsored content

      Current date/time is Sun May 19, 2024 2:17 pm