Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.

Join the forum, it's quick and easy

Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.

Soka Sports

Would you like to react to this message? Create an account in a few clicks or log in to continue.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

2 posters

    Wachezaji 10 wa kigeni uwanjani sio sawa

    dUMA
    dUMA
    Junior Member


    Wachezaji 10 wa kigeni uwanjani sio sawa Empty Wachezaji 10 wa kigeni uwanjani sio sawa

    Post by dUMA Sun Jul 22, 2018 11:19 am

    Mpira wa miguu ni ajira mbali ya kuleta furaha na sifa kwa vilabu, mashabiki na taifa. Ligi kuu ina timu 16 na kama timu itaweza kusajili wachezi 10 wa kigeni maana yake wageni 160 watashiriki ligi kuu nchini. Kama kocha akiamua kuwapanga wachezaji wote 10 uwanjani, maana yake mzawa mmoja tu ndiye atakaepata nafasi ya kucheza kwenye mechi hiyo. Tunaelekea wapi? au ni njia ya kuzibeba timu kubwa zenye wafadhili wenye hela?
    vampire
    vampire
    New Member
    New Member


    Wachezaji 10 wa kigeni uwanjani sio sawa Empty Re: Wachezaji 10 wa kigeni uwanjani sio sawa

    Post by vampire Sun Jul 22, 2018 11:23 am

    kweli

      Current date/time is Fri May 17, 2024 8:08 am