Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.

Join the forum, it's quick and easy

Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.

Soka Sports

Would you like to react to this message? Create an account in a few clicks or log in to continue.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

5 posters

    Mchezo wa draft na sheria zake

    joker
    joker
    New Member
    New Member

    Mchezo wa draft na sheria zake Empty Mchezo wa draft na sheria zake

    Post by joker Tue Apr 10, 2018 12:41 pm

    Mchezo wa draft na sheria zake Hqdefa10
    ndugu zangu wapenda mchezo wa draft kuna sheria inachanganya watu wengi sana katika mchezo huu. swali liko hivi.

    je itakuaje endapo utafika king halafu mpinzani wako hana/hajala kete hata moja ya kukuvalisha hiyo king nawakati huo unataka kuitumia hiyo king?

    Hii ni kwa wale waliobobea katika mchezo huu wa draft na hata kama sis mchezaji lakini sheria waweza kuzijua toad mchango wako, lengo nikueleweshana watu wazijue sheria ili kuondoa mabishano na mikanganyiko katika mchezo huu pendwa.
    Pia waweza changia kwa kudondosha sheria zingine kwa lengo la kuelimishana zaidi.
    shaaban robert
    shaaban robert
    New Member
    New Member

    Mchezo wa draft na sheria zake Empty Re: Mchezo wa draft na sheria zake

    Post by shaaban robert Tue Apr 10, 2018 12:59 pm

    huwezi ukamla mtu kete zote wakati yeye hajala hata moja

    Roy
    Roy
    Founder

    Mchezo wa draft na sheria zake Empty Re: Mchezo wa draft na sheria zake

    Post by Roy Fri Apr 13, 2018 1:53 pm

    umetudanganya hapo we utakulaje kete zote mwingine hajakula hata moja?
    Payet
    Payet
    Junior Member

    Mchezo wa draft na sheria zake Empty Re: Mchezo wa draft na sheria zake

    Post by Payet Fri Apr 13, 2018 8:30 pm

    Roy wrote:umetudanganya hapo we utakulaje kete zote mwingine hajakula hata moja?

    kahawa Very Happy Very Happy Very Happy Very Happy Very Happy
    kichuya kona
    kichuya kona
    Junior Member

    Mchezo wa draft na sheria zake Empty Re: Mchezo wa draft na sheria zake

    Post by kichuya kona Sun Apr 15, 2018 6:05 pm

    shaaban robert wrote:huwezi ukamla mtu kete zote wakati yeye hajala hata moja
    inawezekana

    Sponsored content

    Mchezo wa draft na sheria zake Empty Re: Mchezo wa draft na sheria zake

    Post by Sponsored content

      Current date/time is Sun May 19, 2024 11:28 pm