mimi Joker kwa kweli huyu nandy kanivuruga vuruga sana, yaani mimi nampendaga tu yaani, kisura chake, umbo lake mm hoi taabani.
Mapenzi ni popote lakini mii ninampenda japokuwa sina kitu lakini tutaishi tu kwani Mungu ndiye anatoa ridhiki,
Nandy popote pale ulipo ukisoma ujumbe huu nifate inbox niko serious sitanii
pia kwa yoyote aliye karibu nae anaweza kunisaidia kumfikishia ujumbe huu.