Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.

Join the forum, it's quick and easy

Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.

Soka Sports

Would you like to react to this message? Create an account in a few clicks or log in to continue.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

2 posters

    wambura akataliwa rufaa yake

    Roy
    Roy
    Founder


    wambura akataliwa rufaa yake Empty wambura akataliwa rufaa yake

    Post by Roy Fri Apr 06, 2018 1:28 pm

    wambura akataliwa rufaa yake Img_1010

    Kamati ya rufaa ya maadili ya TFF imetupilia mbali rufaa ya Michael Wambura aliyekuwa makamu wa Rais wa TFF ambaye alifungiwa maisha kujihusisha na shughuli za soka.

    Baada ya kupitia hoja zake za rufaa, kamati ya rufaa ya maadili imejiridhisha na maamuzi ya awali yaliyotolewa na kamati ya maadili kumfungia maisha Michael Wambura.

    Kamati ya rufaa yamaadili imeiagiza TFF kulifikisha suala la Wambura kwenye vyombo vya sheria.

    maoni yenu wadau juu ya huyu fisadi


    Last edited by Roy on Mon Apr 16, 2018 3:26 pm; edited 1 time in total
    ramsey
    ramsey
    Junior Member


    wambura akataliwa rufaa yake Empty Re: wambura akataliwa rufaa yake

    Post by ramsey Mon Apr 09, 2018 10:21 am

    TFF imetawaliwa na figisu figisu

      Current date/time is Fri May 17, 2024 6:25 am