+9
Roy
dUMA
ramsey
Jogoo
moyo
mikael
Naija
Kun"
P. Dybala
13 posters
Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi?
Poll
P. Dybala- New Member
Tazama video hii kisha weka kura yako je alikua sahihi?
Kun"- Junior Member
Ndo maana hawa marefa wa england Mara nyingi hawachezeshi mechi kubwa,,mf.worldcup ..
Shabiki nguli- Guest
Naanza kusema dhuluma ina mwisho wake,,,penalty ilikuwa halali lakini mda ulioongezwa haukuendana na kilichotokea,,,,Baada ya dk za nyongeza kumalizika refa aliendelea kuchezesha na wakati huo juve wao walikuwa wamejipanga kwa ajili ya dk 30 kumbe wenzao walishaongea na refa wajitahidi kufika tu kwenye boksi yeye atatoa penalty na red card ili hata penalty ikiokolewa bado wawe na hasara ya golikipa wao na upungufu wa mchezaji pia,,,,Dhuluma ina mwisho wake wote tupo kulishuhudia hili!!!!!
Naija- New Member
Wacha technologia iongezeke okiwezekana mpira uchezeshe na mitambo maana sio kwa upumbavu huu. Naamini haki inapatikana nibora halali kuliko radha.
Huyu mpumbavu anazidi kuidhihirishia dunia kua uingerza Hakuna marefa wenye viwango vyadunia kwa taaluma yao shukrani FIFA mliliona hilo mapema na tunaomba hata UEFA msimu ujao waacheni tu.
Huyu mpumbavu anazidi kuidhihirishia dunia kua uingerza Hakuna marefa wenye viwango vyadunia kwa taaluma yao shukrani FIFA mliliona hilo mapema na tunaomba hata UEFA msimu ujao waacheni tu.
Naija- New Member
kweliKun\" wrote:Ndo maana hawa marefa wa england Mara nyingi hawachezeshi mechi kubwa,,mf.worldcup ..
jei- Guest
Jaman acheni ushabiki refa hajakosea na yuko sahihi kabisa yule alikuwa mtu wa mwisho lazima iwe hivyo
mikael- Junior Member
Halafu wanatokea mashabiki hewa waliojaaaa wivu na chuki na kusema eti sio penalti,ile ni penalti sahihi kabisa na refa yuko sahihi,yaani mlitaka Lucas Vasquez wangu avunjwe mguu ndio msema Penalti,mashabiki hewa kweli hamna bahati yaani kila timu mtakayohamia mfalme Cristiano Ronaldo anawalizaaaaa na atawanyoosha hadi muhamie Real Madrid,
moyo- New Member
Ajabu juve anatolewa wanalalamika bace
Jogoo- New Member
Ilikuwa dhahiri penalti, sijui refa angefanyaje wakati mguu kutoka nyuma umetimba hadi kifuani
lembe- Guest
real madrid hawez kutwaa UEFA hata angepewa mbeleko ya chuma
ramsey- Junior Member
dUMA- Junior Member
na ndioo machampion watarajiwaramsey wrote:ishu sio penalt ishu ni mda ambao penat ilipatkana kusema ukweli madrid walipewa mbeleko
Roy- Founder
moyo wrote:Ajabu juve anatolewa wanalalamika bace
sembe- Guest
ni bonge la penat kabisa bila uibishi wa aina yoyote ile
CR7- Junior Member
penat hiyo fans wa barcelona acheni majungu
Payet- Junior Member
hiyo ni penalt sema refaree alizingua kwenye muda
Damasi Kenubo- Guest
Pongezi kwa wadau wote mlioamua kuanzisha jukwaa hili la wanamichezo nimesikia kwamba ni wadau wa mwanza kutoka chama cha washabiki wa Arsenali mwanza Mungu wabariki sana
Damasi Kenubo- Guest
Pongezi kwa wadau wote mlioamua kuanzisha jukwaa hili la wanamichezo nimesikia kwamba ni wadau wa mwanza kutoka chama cha washabiki wa Arsenali mwanza Mungu wabariki sana
Mkweli daima- Junior Member
Damasi Kenubo wrote:Pongezi kwa wadau wote mlioamua kuanzisha jukwaa hili la wanamichezo nimesikia kwamba ni wadau wa mwanza kutoka chama cha washabiki wa Arsenali mwanza Mungu wabariki sana
kweli bob wamefanya la maana sana
Mkweli daima- Junior Member
kiuhalisia ile ilikua ni penalt tuweke ushabiki pembeni
labda cha kulalamikiwa ni muda tu aliotumia mwamuzi
labda cha kulalamikiwa ni muda tu aliotumia mwamuzi
|
|