Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.

Join the forum, it's quick and easy

Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.

Soka Sports

Would you like to react to this message? Create an account in a few clicks or log in to continue.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

4 posters

    Julio afunguka kuondoka kwa Lwandamina

    CR7
    CR7
    Junior Member

    Julio afunguka kuondoka kwa Lwandamina Empty Julio afunguka kuondoka kwa Lwandamina

    Post by CR7 Fri Apr 13, 2018 4:17 pm

    Julio afunguka kuondoka kwa Lwandamina Julio.

    Kocha wa Dodoma FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amefunguka kuwa kuondoka kwa Mzambia George Lwandamina aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo, ni pigo na huenda ikawaathiri wachezaji kisaikolojia kutokana na michuano iliyopo mbele yao.

    Hivi karibuni, Lwandamina aliondoka Yanga na kwenda kuingia mkataba na klabu ya nchini kwao, Zesco United ambayo alikuwa akiifundisha kabla ya kutua hapa nchini.

    Julio alisema kuwa kuondoka kwa kocha huyo ni pigo kwa Yanga hasa kutokana na hali ambayo inapitia timu hiyo kwa sasa.

    Julio alisema kuondoka kwa Lwandamina huenda kukawaathiri wachezaji kisaikolojia na bado wakiwa na majukumu mazito mbele yao.

    “Yanga ni timu inayopambana msimu huu lakini kitendo cha Kocha Lwandamina kuondoka na timu ikiwa inamhitaji ni pigo sababu wana michuano mikubwa mbele yao.

    “Lakini hawapaswi kukata tamaa sababu mimi ninamuamini (Shadrack) Nsajigwa ni kocha mzuri ambaye tayari amekaa na makocha hao wakubwa wenye uzoefu, hivyo anaweza kupambana na kuweza kuibeba Yanga,” alisema Julio.
    Anonymous
    mahunyo
    Guest

    Julio afunguka kuondoka kwa Lwandamina Empty Re: Julio afunguka kuondoka kwa Lwandamina

    Post by mahunyo Fri Apr 13, 2018 7:53 pm

    Lwandamina ni mpuuzi tu kama wapuuzi wengine
    Rashford
    Rashford
    Junior Member

    Julio afunguka kuondoka kwa Lwandamina Empty Re: Julio afunguka kuondoka kwa Lwandamina

    Post by Rashford Sun Apr 15, 2018 5:44 pm

    mtu mzima anatoroka kama mtoto mjinga sana huyu kocha
    CR7
    CR7
    Junior Member

    Julio afunguka kuondoka kwa Lwandamina Empty Re: Julio afunguka kuondoka kwa Lwandamina

    Post by CR7 Sun Apr 15, 2018 5:45 pm

    Julio afunguka kuondoka kwa Lwandamina Z
    kichuya kona
    kichuya kona
    Junior Member

    Julio afunguka kuondoka kwa Lwandamina Empty Re: Julio afunguka kuondoka kwa Lwandamina

    Post by kichuya kona Sun Apr 15, 2018 6:09 pm

    Rashford wrote:mtu mzima anatoroka kama mtoto mjinga sana huyu kocha
    naskia amekimbia njaa
    wazza
    wazza
    Junior Member

    Julio afunguka kuondoka kwa Lwandamina Empty Re: Julio afunguka kuondoka kwa Lwandamina

    Post by wazza Thu Apr 19, 2018 5:13 pm

    aende Jangwani watamuua na njaa

    Sponsored content

    Julio afunguka kuondoka kwa Lwandamina Empty Re: Julio afunguka kuondoka kwa Lwandamina

    Post by Sponsored content

      Current date/time is Fri May 17, 2024 11:57 am