Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

IKITOKEA ANTHON JOSHUA Vs FROYD MONEY MYWETHR WAPO ULINGONI NANI ATANYANYASWA

Share

IKITOKEA ANTHON JOSHUA Vs FROYD MONEY MYWETHR WAPO ULINGONI NANI ATANYANYASWA

Post by Juma Selemba on Tue Apr 10, 2018 10:43 am

Natumani ni wazima wa afya niko hapa kuona mawazo yenu juu ya ninachokiwaza kuhusu hawa wana masumbwi bora kabisa kwa sasa ulimwengu lakini katika uzito tofauti mmoja akiwa anashikiria record ya,kutopigwa katika uzitoo wa kati.

Na mwingine akiwa na record ya kutopigwa katika uzito wa juu.

Je ikitokea mmoja akakubali kuongeza kilo ili apigane na mwenzake au mmoja akakubali kupunguzi kilo ili apigane na mwenzake kwa mtazamo wako unahisi nani ataambulia kipigo na kuivunja record ya mwenzake?

Naomba tutoe maoni kistaarabu nijenge nikujenge tujenge na tunjengane sio una view post yangu ili unitukane itakuwa sio issue

Re: IKITOKEA ANTHON JOSHUA Vs FROYD MONEY MYWETHR WAPO ULINGONI NANI ATANYANYASWA

Post by MO SALAH on Tue Apr 10, 2018 11:08 am

haiwezekani

    Current date/time is Wed Dec 19, 2018 4:41 am