Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

Uzi maalumu wa kutoa maoni na mawazo nini kifanyike ili Bongo movie ifike kimataifa!

Share
avatar
Naija
New Member
New Member

Uzi maalumu wa kutoa maoni na mawazo nini kifanyike ili Bongo movie ifike kimataifa!

Post by Naija on Wed Apr 11, 2018 10:33 am

wadau kama tunavyoelewa baada ya kutoka kwa msanii nguli Steven Kanumba sasahivi bongo movie imepoteza dira na watu wamekata tamaa kabisa wakidai movies za kitanzania hazina uhalisia wala mvuto,

Je nini kifanyike ili kurudisha heshima ya Bongo movie iweze kutamba kimataifa kama ilivyo Nollywood?
avatar
mahuja
Guest

Re: Uzi maalumu wa kutoa maoni na mawazo nini kifanyike ili Bongo movie ifike kimataifa!

Post by mahuja on Thu Apr 12, 2018 11:47 am

wasanii wetu inabidi waigize uhalisia pia wae serious na kazi zao
avatar
moyo
New Member
New Member

Re: Uzi maalumu wa kutoa maoni na mawazo nini kifanyike ili Bongo movie ifike kimataifa!

Post by moyo on Thu Apr 12, 2018 1:00 pm

hawa ndio wasanii wetu wanaopewa tuzo
avatar
Jogoo
New Member
New Member

Re: Uzi maalumu wa kutoa maoni na mawazo nini kifanyike ili Bongo movie ifike kimataifa!

Post by Jogoo on Thu Apr 12, 2018 1:12 pm

Kitekinolojia tumeachwa mbali kwani sisi Bongo tunatumia Camcorder while wenzetu wa magharibi wanatumia mitambo mounted with sophisticated Camera.
Ukilinganisha hapo utaona bongo movie bado iko miaka ya 40 enzi za Yomba yomba
avatar
dUMA
Junior Member

Re: Uzi maalumu wa kutoa maoni na mawazo nini kifanyike ili Bongo movie ifike kimataifa!

Post by dUMA on Thu Apr 12, 2018 8:34 pm

avatar
Jasmin
Guest

Re: Uzi maalumu wa kutoa maoni na mawazo nini kifanyike ili Bongo movie ifike kimataifa!

Post by Jasmin on Thu Apr 12, 2018 8:57 pm

waende shule wakajifunze sanaa sio kudandia
avatar
dUMA
Junior Member

Re: Uzi maalumu wa kutoa maoni na mawazo nini kifanyike ili Bongo movie ifike kimataifa!

Post by dUMA on Fri Apr 13, 2018 12:33 pm

Teknolojia ikuzwe
avatar
dUMA
Junior Member

Re: Uzi maalumu wa kutoa maoni na mawazo nini kifanyike ili Bongo movie ifike kimataifa!

Post by dUMA on Fri Apr 13, 2018 12:39 pm

tofautisha teknolojia wanayotumia wenzetu na sisi

avatar
lallana
New Member
New Member

Re: Uzi maalumu wa kutoa maoni na mawazo nini kifanyike ili Bongo movie ifike kimataifa!

Post by lallana on Fri Apr 13, 2018 8:40 pm

waache kujihusisha na siasa hicho ndicho chanzo cha kudharauliwa na 
mashabiki

avatar
mikael
Junior Member

Re: Uzi maalumu wa kutoa maoni na mawazo nini kifanyike ili Bongo movie ifike kimataifa!

Post by mikael on Sat Apr 14, 2018 4:33 pm

bongo movie kamwe haitaendelea kama hawatakuwa serious,vile vile waache umimi
mtu ndo director, hyohyo sterling hyohyo editor
avatar
Rashford
Junior Member

Re: Uzi maalumu wa kutoa maoni na mawazo nini kifanyike ili Bongo movie ifike kimataifa!

Post by Rashford on Sun Apr 15, 2018 5:41 pm

bongo movie hawana ubunifu kabisa tumeisha wachoka,
halafu wanapenda usupastaa wa kijinga sana na kuendekeza mambo yasiyo na maadili

Re: Uzi maalumu wa kutoa maoni na mawazo nini kifanyike ili Bongo movie ifike kimataifa!

Post by kichuya kona on Sun Apr 15, 2018 6:10 pm

@Rashford wrote:bongo movie hawana ubunifu kabisa tumeisha wachoka,
halafu wanapenda usupastaa wa kijinga sana na kuendekeza mambo yasiyo na maadili
yapi hayo?

Re: Uzi maalumu wa kutoa maoni na mawazo nini kifanyike ili Bongo movie ifike kimataifa!

Post by celine dion on Thu Apr 19, 2018 12:16 pm

kuwa msanii maarufu Bongo, ni kuwa Kahaba na mhuni
avatar
Kun"
Junior Member

Re: Uzi maalumu wa kutoa maoni na mawazo nini kifanyike ili Bongo movie ifike kimataifa!

Post by Kun" on Thu Apr 19, 2018 12:44 pm

Jasmin wrote:waende shule wakajifunze sanaa sio kudandia
na huo ndio ukweli wenzetu unakuta karibia waigizaji wote ni wasomi but huku kwetu ni zoa zoa tu
avatar
King
Junior Member

Re: Uzi maalumu wa kutoa maoni na mawazo nini kifanyike ili Bongo movie ifike kimataifa!

Post by King on Thu Apr 19, 2018 1:15 pm

Bongo movie ilijifia baada ya ujio wa Korean Dramas
avatar
Hamiliton
Junior Member

Re: Uzi maalumu wa kutoa maoni na mawazo nini kifanyike ili Bongo movie ifike kimataifa!

Post by Hamiliton on Thu Apr 19, 2018 1:41 pm

@King wrote:Bongo movie ilijifia baada ya ujio wa Korean Dramas
Si nilisikia mkuu wa mkoa amepiga marufuku uingizwaji wa hizo Drama iliishia wapi?

Re: Uzi maalumu wa kutoa maoni na mawazo nini kifanyike ili Bongo movie ifike kimataifa!

Post by Virgin Jack on Thu Apr 19, 2018 4:56 pm

Actors/actresses wamejikita zaidi kwenye ngono wakati matatizo yapo mengi nje na ndani ya nchi hadi wateja wa movie zahesabika e.g. mafuriko, vyeti feki utekaji, rushwa n.k

Re: Uzi maalumu wa kutoa maoni na mawazo nini kifanyike ili Bongo movie ifike kimataifa!

Post by keyboard on Thu Apr 19, 2018 5:08 pm

Tanzania, Kanumba ndiye aliyekuwa msanii wa kwanza nchini kufanya kazi nje ya nchi na kuweza kuwavuta wageni kutoka nchi mbalimbali kuja kuigiza Tanzania. Hasa walikuwa Wanigeria kama vile Mercy Johnson, Emmanuel France, Nkiru Silvanus, Ramsey Nouah, na wengine wengi tu. Kanumba pia ameweza kuwaleta waongozaji filamu kadhaa was Kinigeria nchini
Kanumba alikua anajielewa pia alikua hana skendo za ovyo 

lakini wasanii wengi wa sasda wanafikiri skendo ndo kutoka kumbe wanajishushia credit
pia wameonekana hawana kabisa nia ya ushindani maana tumewambia mara nyingi sana lakini hawataki kubadilika
avatar
wazza
Junior Member

Re: Uzi maalumu wa kutoa maoni na mawazo nini kifanyike ili Bongo movie ifike kimataifa!

Post by wazza on Thu Apr 19, 2018 5:17 pm

Bongo movie imegeuka kikundi cha CCM acha wawe wanasiasa Tu movie zimeshawashinda
avatar
rosee
New Member
New Member

Re: Uzi maalumu wa kutoa maoni na mawazo nini kifanyike ili Bongo movie ifike kimataifa!

Post by rosee on Fri Apr 20, 2018 1:31 am

@Virgin Jack wrote:Actors/actresses wamejikita zaidi kwenye ngono wakati matatizo yapo mengi nje na ndani ya nchi hadi wateja wa movie zahesabika e.g. mafuriko, vyeti feki utekaji, rushwa n.k

ni kweli kila movie sku hizi ni mapenzi na ni bora hata zile za vichekesho

Sponsored content

Re: Uzi maalumu wa kutoa maoni na mawazo nini kifanyike ili Bongo movie ifike kimataifa!

Post by Sponsored content

    Current date/time is Wed Dec 19, 2018 4:44 am