Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

 • Post new topic
 • Reply to topic

Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi?

Poll

Je refaree alikua sahihi kuweka?

Total Votes: x

Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi? Empty Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi?

Post by P. Dybala on Thu Apr 12, 2018 12:26 pm

Tazama video hii kisha weka kura yako je alikua sahihi?
Kun
Kun"
Junior Member

Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi? Empty Re: Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi?

Post by Kun" on Thu Apr 12, 2018 12:28 pm

Ndo maana hawa marefa wa england Mara nyingi hawachezeshi mechi kubwa,,mf.worldcup ..
Anonymous
Shabiki nguli
Guest

Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi? Empty Re: Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi?

Post by Shabiki nguli on Thu Apr 12, 2018 12:33 pm

Naanza kusema dhuluma ina mwisho wake,,,penalty ilikuwa halali lakini mda ulioongezwa haukuendana na kilichotokea,,,,Baada ya dk za nyongeza kumalizika refa aliendelea kuchezesha na wakati huo juve wao walikuwa wamejipanga kwa ajili ya dk 30 kumbe wenzao walishaongea na refa wajitahidi kufika tu kwenye boksi yeye atatoa penalty na red card ili hata penalty ikiokolewa bado wawe na hasara ya golikipa wao na upungufu wa mchezaji pia,,,,Dhuluma ina mwisho wake wote tupo kulishuhudia hili!!!!!
Naija
Naija
New Member
New Member

Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi? Empty Re: Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi?

Post by Naija on Thu Apr 12, 2018 12:35 pm

Wacha technologia iongezeke okiwezekana mpira uchezeshe na mitambo maana sio kwa upumbavu huu. Naamini haki inapatikana nibora halali kuliko radha.

Huyu mpumbavu anazidi kuidhihirishia dunia kua uingerza Hakuna marefa wenye viwango vyadunia kwa taaluma yao shukrani FIFA mliliona hilo mapema na tunaomba hata UEFA msimu ujao waacheni tu.

Naija
Naija
New Member
New Member

Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi? Empty Re: Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi?

Post by Naija on Thu Apr 12, 2018 12:35 pm

Kun\" wrote:Ndo maana hawa marefa wa england Mara nyingi hawachezeshi mechi kubwa,,mf.worldcup ..
kweli
Anonymous
jei
Guest

Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi? Empty Re: Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi?

Post by jei on Thu Apr 12, 2018 12:37 pm

Jaman acheni ushabiki refa hajakosea na yuko sahihi kabisa yule alikuwa mtu wa mwisho lazima iwe hivyo
mikael
mikael
Junior Member

Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi? Empty Re: Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi?

Post by mikael on Thu Apr 12, 2018 12:40 pm

Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi? 30624610

Halafu wanatokea mashabiki hewa waliojaaaa wivu na chuki na kusema eti sio penalti,ile ni penalti sahihi kabisa na refa yuko sahihi,yaani mlitaka Lucas Vasquez wangu avunjwe mguu ndio msema Penalti,mashabiki hewa kweli hamna bahati yaani kila timu mtakayohamia mfalme Cristiano Ronaldo anawalizaaaaa na atawanyoosha hadi muhamie Real Madrid,
moyo
moyo
New Member
New Member

Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi? Empty Re: Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi?

Post by moyo on Thu Apr 12, 2018 12:47 pm

Ajabu juve anatolewa wanalalamika bace
Jogoo
Jogoo
New Member
New Member

Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi? Empty Re: Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi?

Post by Jogoo on Thu Apr 12, 2018 1:12 pm

Ilikuwa dhahiri penalti, sijui refa angefanyaje wakati mguu kutoka nyuma umetimba hadi kifuani
Anonymous
lembe
Guest

Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi? Empty Re: Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi?

Post by lembe on Thu Apr 12, 2018 1:35 pm

real madrid hawez kutwaa UEFA hata angepewa mbeleko ya chuma

Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi? Empty Re: Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi?

Post by Roy on Thu Apr 12, 2018 5:20 pm

yuko sahihi
ramsey
ramsey
Junior Member

Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi? Empty Re: Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi?

Post by ramsey on Thu Apr 12, 2018 5:42 pm

ishu sio penalt ishu ni mda ambao penat ilipatkana kusema ukweli madrid walipewa mbeleko
Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi? 30624510
dUMA
dUMA
Junior Member

Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi? Empty Re: Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi?

Post by dUMA on Thu Apr 12, 2018 8:25 pm

@ramsey wrote:ishu sio penalt ishu ni mda ambao penat ilipatkana kusema ukweli madrid walipewa mbeleko
 na ndioo machampion watarajiwa

Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi? Empty Re: Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi?

Post by Roy on Thu Apr 12, 2018 8:54 pm

@moyo wrote:Ajabu juve anatolewa wanalalamika bace
Laughing Laughing Laughing Laughing Laughing Laughing Laughing Laughing Laughing Laughing Laughing Laughing
Anonymous
sembe
Guest

Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi? Empty Re: Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi?

Post by sembe on Fri Apr 13, 2018 3:30 pm

ni bonge la penat kabisa bila uibishi wa aina yoyote  ile
CR7
CR7
Junior Member

Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi? Empty Re: Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi?

Post by CR7 on Fri Apr 13, 2018 4:05 pm

penat hiyo fans wa barcelona acheni majungu
Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi? 30623919_189193298556684_8548538361466322944_n
Payet
Payet
Junior Member

Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi? Empty Re: Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi?

Post by Payet on Fri Apr 13, 2018 8:25 pm

hiyo ni penalt sema refaree alizingua kwenye muda
Mtata
Mtata
New Member
New Member

Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi? Empty Re: Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi?

Post by Mtata on Fri Apr 13, 2018 8:50 pm

NI PENALT HALALI
Anonymous
Damasi Kenubo
Guest

Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi? Empty Re: Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi?

Post by Damasi Kenubo on Fri Apr 13, 2018 9:06 pm

Pongezi kwa wadau wote mlioamua kuanzisha jukwaa hili la wanamichezo nimesikia kwamba ni wadau wa mwanza kutoka chama cha washabiki wa Arsenali mwanza Mungu wabariki sana

Post by Mkweli daima on Fri Apr 13, 2018 9:10 pm

Damasi Kenubo wrote:Pongezi kwa wadau wote mlioamua kuanzisha jukwaa hili la wanamichezo nimesikia kwamba ni wadau wa mwanza kutoka chama cha washabiki wa Arsenali mwanza Mungu wabariki sana

kweli bob wamefanya la maana sana

Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi? Empty Re: Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi?

Post by Mkweli daima on Sun Apr 15, 2018 4:35 pm

kiuhalisia ile ilikua ni penalt tuweke ushabiki pembeni
labda cha kulalamikiwa ni muda tu aliotumia mwamuzi

Sponsored content

Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi? Empty Re: Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi?

Post by Sponsored content

 • Post new topic
 • Reply to topic

Current date/time is Fri May 24, 2019 10:50 pm