Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.

Join the forum, it's quick and easy

Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.

Soka Sports

Would you like to react to this message? Create an account in a few clicks or log in to continue.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

3 posters

    Hivi TFF hawajui kama magari ni silaha kwenye viwanja vya mpira

    Zombie
    Zombie
    Junior Member

    Hivi TFF hawajui kama magari ni silaha kwenye viwanja vya mpira Empty Hivi TFF hawajui kama magari ni silaha kwenye viwanja vya mpira

    Post by Zombie Sun Apr 15, 2018 5:27 pm

    Haya magari yanayopaki ndani ya viwanja vya mpira vp kama siku yakatumiwa na wahalifu kushambulia wachezaji??
    Maana yanakua mita chache toka kwenye kiwanja..pia haipendezi kabisa hata kwenye urushaji wa matangazo ya mpira 

    TFF ipige marufuku magari kuingia ndani ya viwanja wakati wa mechi za mpira.
    Rashford
    Rashford
    Junior Member

    Hivi TFF hawajui kama magari ni silaha kwenye viwanja vya mpira Empty Re: Hivi TFF hawajui kama magari ni silaha kwenye viwanja vya mpira

    Post by Rashford Sun Apr 15, 2018 5:35 pm

    Kwa sababu viwanja vingi vinavyotumika kwa soka Tanzania uwa ni vya zaidi ya mchezo wa soka. Haswa kwa sababu vinakuwa na sehemu ya michezo ya riadha. Hata kwa wenzetu kwenye viwanja vinavyotumika kwa michezo mingi, uweza kuona gari za wagonjwa ndani ya uwanja. Kwa viwanja vinavyotumika kwa soka tu huwezi kukuta gari ndani ya uwanja kwa sababu hakuna nafasi ya kupaki gari ndani.
    CR7
    CR7
    Junior Member

    Hivi TFF hawajui kama magari ni silaha kwenye viwanja vya mpira Empty Re: Hivi TFF hawajui kama magari ni silaha kwenye viwanja vya mpira

    Post by CR7 Sun Apr 15, 2018 5:49 pm

    Very Happy Very Happy Very Happy Very Happy Very Happy

    Sponsored content

    Hivi TFF hawajui kama magari ni silaha kwenye viwanja vya mpira Empty Re: Hivi TFF hawajui kama magari ni silaha kwenye viwanja vya mpira

    Post by Sponsored content

      Current date/time is Sun May 12, 2024 11:31 pm