Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.

Join the forum, it's quick and easy

Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.

Soka Sports

Would you like to react to this message? Create an account in a few clicks or log in to continue.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

+4
celine dion
kiboko yao
mikael
Jogoo
8 posters

    Harusi ya Ali Kiba kumuingizia zaidi ya Milioni 600 ,huku Azam kumlipa zaidi ya milioni 200 kwa kuonyesha live

    Jogoo
    Jogoo
    New Member
    New Member

    Harusi ya Ali Kiba kumuingizia zaidi ya Milioni 600 ,huku Azam kumlipa zaidi ya milioni 200 kwa kuonyesha live Empty Harusi ya Ali Kiba kumuingizia zaidi ya Milioni 600 ,huku Azam kumlipa zaidi ya milioni 200 kwa kuonyesha live

    Post by Jogoo Wed Apr 18, 2018 10:46 am

    %7D%7D&__tn__=%2As-R][ltr]#Mombasa[/ltr];Harusi ya Ali Kiba kumuingizia zaidi ya Milioni 600 ,huku Azam kumlipa zaidi ya milioni 200 kwa kuonyesha live
    Msanii wa BongoFlavour @officialalikiba Kuvuna mamilioni mwezi huu.
    AzamTv wamenunua rights za kurusha Harusi ya Alikiba. Worth deal ni more than 90,000$, zaidi ya Million 204,331,500.00 Tsh.
    Harusi ya kwanza Mombasa tarehe 19, mapokezi Dar tarehe 29 April.
    Hakuna chombo cha habari kingine kitaruhusiwa hata kupiga picha! Mambo yote yataripotiwa na AzamTV.
    Mbali na hayo, Tayar makumpuni makubwa 19 ya East Africa yameingia mkataba wa ku-finance Harusi hiyo, kitu ambacho kinakadiliwa kwa Msanii huyo kutengeneza more than 600 Million Tsh just kupitia matukio ya harusi yake.
    Hii ni ishara tosha ya kupanda kwa thamani ya Wasanii wetu, Mziki unakuwa sawia na economic profiles zao.

    %7D%7D&__tn__=EH-R]Harusi ya Ali Kiba kumuingizia zaidi ya Milioni 600 ,huku Azam kumlipa zaidi ya milioni 200 kwa kuonyesha live 30706337_2195133613835378_1711728442380124160_n
    mikael
    mikael
    Junior Member

    Harusi ya Ali Kiba kumuingizia zaidi ya Milioni 600 ,huku Azam kumlipa zaidi ya milioni 200 kwa kuonyesha live Empty Re: Harusi ya Ali Kiba kumuingizia zaidi ya Milioni 600 ,huku Azam kumlipa zaidi ya milioni 200 kwa kuonyesha live

    Post by mikael Wed Apr 18, 2018 10:51 am

    king kiba Arrow Arrow Arrow Arrow
    kiboko yao
    kiboko yao
    New Member
    New Member

    Harusi ya Ali Kiba kumuingizia zaidi ya Milioni 600 ,huku Azam kumlipa zaidi ya milioni 200 kwa kuonyesha live Empty Re: Harusi ya Ali Kiba kumuingizia zaidi ya Milioni 600 ,huku Azam kumlipa zaidi ya milioni 200 kwa kuonyesha live

    Post by kiboko yao Wed Apr 18, 2018 10:55 am

    Tatizo letu wa Tanzania uongo sijui unatatusaidia nini? Azam ikulipe milion 200 kwa kuonyesha ndoa yako? wewe umekua nani haswa?
    acheni unafiki na kupika takwimu
    celine dion
    celine dion
    Junior Member

    Harusi ya Ali Kiba kumuingizia zaidi ya Milioni 600 ,huku Azam kumlipa zaidi ya milioni 200 kwa kuonyesha live Empty Re: Harusi ya Ali Kiba kumuingizia zaidi ya Milioni 600 ,huku Azam kumlipa zaidi ya milioni 200 kwa kuonyesha live

    Post by celine dion Thu Apr 19, 2018 11:54 am

    sawa
    Kun
    Kun"
    Junior Member

    Harusi ya Ali Kiba kumuingizia zaidi ya Milioni 600 ,huku Azam kumlipa zaidi ya milioni 200 kwa kuonyesha live Empty Re: Harusi ya Ali Kiba kumuingizia zaidi ya Milioni 600 ,huku Azam kumlipa zaidi ya milioni 200 kwa kuonyesha live

    Post by Kun" Thu Apr 19, 2018 1:02 pm

    kiboko yao wrote:Tatizo letu wa Tanzania uongo sijui unatatusaidia nini? Azam ikulipe milion 200 kwa kuonyesha ndoa yako? wewe umekua nani haswa?
    acheni unafik
    Tim mond mnashida sana
    Hamiliton
    Hamiliton
    Junior Member

    Harusi ya Ali Kiba kumuingizia zaidi ya Milioni 600 ,huku Azam kumlipa zaidi ya milioni 200 kwa kuonyesha live Empty Re: Harusi ya Ali Kiba kumuingizia zaidi ya Milioni 600 ,huku Azam kumlipa zaidi ya milioni 200 kwa kuonyesha live

    Post by Hamiliton Thu Apr 19, 2018 1:41 pm

    Hongera kwake
    Virgin Jack
    Virgin Jack
    New Member
    New Member

    Harusi ya Ali Kiba kumuingizia zaidi ya Milioni 600 ,huku Azam kumlipa zaidi ya milioni 200 kwa kuonyesha live Empty Re: Harusi ya Ali Kiba kumuingizia zaidi ya Milioni 600 ,huku Azam kumlipa zaidi ya milioni 200 kwa kuonyesha live

    Post by Virgin Jack Thu Apr 19, 2018 4:59 pm

    ndoa za wasanii wanaoana kwa mbwembwe kibao halafu wanaachana ndani ya muda mfupi
    halima
    halima
    New Member
    New Member

    Harusi ya Ali Kiba kumuingizia zaidi ya Milioni 600 ,huku Azam kumlipa zaidi ya milioni 200 kwa kuonyesha live Empty Re: Harusi ya Ali Kiba kumuingizia zaidi ya Milioni 600 ,huku Azam kumlipa zaidi ya milioni 200 kwa kuonyesha live

    Post by halima Fri Apr 20, 2018 1:58 am

    alikiba amejitahidi Mungu amjalie

    Sponsored content

    Harusi ya Ali Kiba kumuingizia zaidi ya Milioni 600 ,huku Azam kumlipa zaidi ya milioni 200 kwa kuonyesha live Empty Re: Harusi ya Ali Kiba kumuingizia zaidi ya Milioni 600 ,huku Azam kumlipa zaidi ya milioni 200 kwa kuonyesha live

    Post by Sponsored content

      Current date/time is Sat May 11, 2024 3:27 pm