Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.

Join the forum, it's quick and easy

Soka Sports

je, bado hujawa member?

ni rahisi kuwa mwanajukwaa wa sokasports click register kutengeneza account yako.
itakuchukua sekunde 30 tu.

Soka Sports

Would you like to react to this message? Create an account in a few clicks or log in to continue.
Soka Sports

Jukwaa La Wanamichezo Tanzania www.sokasports.forumotion.com

FIFA WORLD CUP CHAMPONS 2018 FRANCE .

    KIMENUKA: Diva atakiwa kumlipa Michael Lukindo Milioni 50 kwa kumdhalilisha

    celine dion
    celine dion
    Junior Member


    KIMENUKA: Diva atakiwa kumlipa Michael Lukindo Milioni 50 kwa kumdhalilisha Empty KIMENUKA: Diva atakiwa kumlipa Michael Lukindo Milioni 50 kwa kumdhalilisha

    Post by celine dion Mon Apr 23, 2018 10:59 am

    KIMENUKA: Diva atakiwa kumlipa Michael Lukindo Milioni 50 kwa kumdhalilisha DIVA-640x640

    Msanii wa Bongo fleva na mtangazaji wa Cloud Fm ,Diva Gissele Malinzi maarufu kama "Diva the bawse" ametakiwa kuomba radhi pamoja na kulipa faini ya Tsh.Milioni 50 kwa kosa la kumdhalilisha msanii mwenzake ambaye alikuwa mtangazaji mwenza wa Cloud Fm ,Michael Lukindo.

    Diva amepewa agizo hilo na taasisi ya wanasheria ya "East Woods Attorney" ambako Michael Lukindo aliwasilisha madai yake ya kudhalilishwa.

    Picha liko hivi
    Siku chache zilizopita Michael Lukindo alifanya mahojiano na XXL ya Clouds Fm na alikuwa anatambulisha nyimbo yake mpya ya " Basi Iwe" lakini Kwenye mahojiano hayo alifunguka amewahi kuwa Kwenye Mahusiano na Diva.

    Baada ya kusikia taarifa hizo Diva alitumia ukurasa wake wa Instagram na kumwaga povu zito na kukataa kata kata kama yupo Kwenye Mahusiano ya kimapenzi na Michael Lukindo.

    Baada ya Tetesi hizo kusambaa Soudy Brown alimsaka Michael ambaye alikiri kuwa alikuwepo Kwenye Mahusiano na Diva lakini walifanya siri na mpaka sasa Diva hayupo tayari kuzungumzia hayo mahusiano.

    Baada ya kusikia maneno hayo Diva ambaye kwa muda huo alikuwa studio alimtolea matusi mazito Michael Lukindo:


    “Wewe mata** unikome shika adabu yako umeshawahi kuwa na Mahusiano na mimi lini na wapi?na nilikwambia kabisa kwamba nimekushtaki I have defamation letter for you utajifunza kufunga huo mdomo wako sitaki mambo ya kise*** k*** la mama ako umeenda umemzungumzia Jokate on the same same thing haukutosheka ukamuandika Miriam Odemba kuwa una Mahusiano naye sasahivi unataka kwangu mimi kunitafutia kiki sasa mimi ntakukomesha nimeshakushtaki”.

    "East Woods Attorney" wamemwamndikia barua Diva ambapo wamemtaka amwombe msamaha mteja wao Michael Lukindo pia amlipe Tsh .Milioni 50 . Diva ametakiwa kufanya hayo ndani ya siku 14 kuanzia tarehe 19 April ,2018.Akishindwa kufanya hayo hatua zaidi za kisheria zitachukuliwa

    Hii hapa barua aliyoadnikiwa Diva na wanasheri wa Michael Lukindo.

    KIMENUKA: Diva atakiwa kumlipa Michael Lukindo Milioni 50 kwa kumdhalilisha IMG-20180422-WA0026

    KIMENUKA: Diva atakiwa kumlipa Michael Lukindo Milioni 50 kwa kumdhalilisha IMG-20180422-WA0025KIMENUKA: Diva atakiwa kumlipa Michael Lukindo Milioni 50 kwa kumdhalilisha IMG-20180422-WA0027

      Current date/time is Fri May 17, 2024 5:45 am